Jinsi ya kum-handle kijana aneanza balehe

Jinsi ya kum-handle kijana aneanza balehe

Rapunzel huyu mtoto una mdekeza sana na ume mnyima viboko, kuwa makini ata kushinda.

Huyu unatakiwa kumchapa na hakuna zawadi nyingine ya kumnunulia mpaka simu?
Usimpe simu kabisa hadi akifika form five.

Kuwa makini sana. Badili jinsi ya kumlea huyu mtoto lasivyo ata feli na kukushinda.

I hope ningekuwa Africa angekula fimbo haswa but huku nilipo ni helpless kabisa kwa malezi ya watoto wetu wa kiswahili
 
Last edited by a moderator:
Ulimdekeza mwenyewe,ebu mtafute aunt sadaka yule wa clouds fm atakusaidia kukushauri umfanyaje!
 
Hata namjua basiii..ni mshauri au?

chat nae through facebook au gmail
kwa kukusaidia tu dada mm nina phd ya human physycology ni pm au nitafute kwenye albuluushiy@gmail.com
nimefanya research nying miongoni mwa hizo ni how to behave african boy in western countries by now niko xinjiang china lkn soon nitarudi uk
note: ushauri ni bure nimesoma ili kusaidia jamii especially ndugu zangu watanzania
thanks
 
chat nae through facebook au gmail
kwa kukusaidia tu dada mm nina phd ya human physycology ni pm au nitafute kwenye albuluushiy@gmail.com
nimefanya research nying miongoni mwa hizo ni how to behave african boy in western countries by now niko xinjiang china lkn soon nitarudi uk
note: ushauri ni bure nimesoma ili kusaidia jamii especially ndugu zangu watanzania
thanks

Nakutumia email mkuu sasa hivi
 
Habari wana Jf

Jamani nina mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 15 wa marehemu dada yangu(Mwenyezi mungu amrehemu huko aliko)bahati mbaya mama yake alifariki kipindi cha uzazi kwa hiyo anajua mimi ndiye mama yake mzazi ,sababu nimemlea mpk sasa

Naomba kusema nampenda sana huyu mtoto nafanya kila niwezalo apate kile kilicho bora na kusema kweli ni kijana mwenye akili sana darasani ameshapat awards kibao toka yuko primary mpk sasa secondary.

Kesi zilianza kipindi cha pasaka alimwandikia mwanafunzi mwenzie wa kike love letter ambayo ilikuja kushikwa na wazazi wa binti huyo, wale wazizi wa huyo binti walichukia sana wakaniita nimuonye kijana wangu hawataki mazoea na binti yao.
Nikaa na mtoto wangu kirafiki na kuongea nae kuhusu kujiushisha kimapenzi katika umri mdogo alichonijibu'Mama usiwe na hofu na mimi pili wasichana wa shule wanajigonga wenyewe niwatake ili niwasaidie Mathe..sasa mimi niwaachie? Eeh mungu wangu nilichoka nabaki kujiuliza ina maana keshaanza ule mchezo wa kikubwa? Sipati jibu.

Tatizo la pili limetokea wiki 2 zilizopita baada ya kufanya vizuri darasani na kushika nafasi ya kwanza alitaka zawadi ya simu na mimi kuwa na furaha ya matokeo yake nikamnunulia Sony utra z smartphone japo nilimuekea masharti na mipaka ya kutumia simu....sasa kuna siku nimemfuma anacheki porn movies kwenye simu yake nilichukia na uamuzi nikampokonya na simu yenyewe.

Sasa kilichotokea kanuna hataki kula au akila ni kidogo sana ,haongei wala kucheka kama zamani ,mpk mwl wake amenoti mabadiliko yake darasani akifika shule yeye ni kimya tu hata akiulizwa swali hajibu.

Jamani nifanyeje sasa au ndio balahe? Msaada niishi nae vipi kijana akianza balahe?

Samahi kwa kuandika maelezo marefu

bila samahani
 
mbanie tu soon ataanza kupiga puli
 
Uanze kumfundisha mwanao matumizi ya kondom. Na azingatie kweli mafunzo

Ashajua kila kitu, kwahyo huwezi kumzuia usipokuwa mkali kama chui
 
enheee ya walimwengu hayo poleni..

mwite one day umwambie haya-:
mwambie kuwa na akili esp za darasani hazina waranty wala gurantee mwambie kuwa hizo akili ni situational and sometimes its conditional muda mwingine zina kuwa useless na kutomsaidia kwenye kuishi na watu kwa amani, mwambie any day zinaeza potea na akawa kilaza...
mtolee mifano ya walo haribu kwa kibur nakuitumia elimu kuwato**m watoto wawatu...mtoe mwende matembezini mpe emotional stories about you at least hii itajenga bad attitude kuhusu imoralities...
msimulie katika musukosuko ya maisha, jifanye kumwomba ushauri..stori za mapenzi au kusifia vibint usifanye hivyo mbele yake...kuwa rigid kama wa rusi uso wa mbuzi..mwambie kila ujanja unaujua..pia mwambie ni mtu gani unampenda maishani aidha ktk wasomi , wanafalsafa au watu mahiri na mashuhuri na majasiri kufanya hivyo utakuwa umemjengea interest na ma role modal ambao atajitahidi kuwaiga...

mimi kwamtazamo wangu huwa naamini mtoto au watoto ili wawe majasiri ni namna ya kuwaconditional yaan kama watoto wa madikteta...

ila kwa vyovyote vile haya yote itabidi yafanywe kwa uahirikiano wa watu wa aina tatu.. yaani mwanamke mmoja na wanaume wawili.. au hata mwanaume mmoja .. ila awe na busara mno
 
Back
Top Bottom