The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,675
Sijuhi kama namdekeza au la! Nifanyeje sasa? Busara zako zinahitajika ..
Natamani ningekuwa na babake wa kufikia hata kwa miezi miwili...umemdekeza sanal
Sijuhi kama namdekeza au la! Nifanyeje sasa? Busara zako zinahitajika ..
Tatizo umelitengeneza mwenyewe, kuna msemo usemao MTOTO UMLEAVYO NDO AKUAVYO, ilibidi uwe mwangalifu mapema kwa kuchagua aina ya zawadi kwa mwanao huyo hata kama uchumi wako ni mzuri, zawadi ziangalie faida na hasara, wewe hukuangalia hilo. acha kuongea na mwanao kama upo na shemeji yako au upo na rafiki yako, chagua maneno ya kuongea mbele ya hadhara. UHURU BILA MIPAKA NI KUKARIBISHA FUJO. MTAFUTE PROFFESSIONAL COUNSELOR ILI UMPELEKE MWANAO HUYO atamsaidia
Huyo mtoto uliwahi kumchapa mara ngapi?
Inaonekana umemlea kwa kumdekeza ukidhani ndio unamuonyesha upendo, ungekuwa unatandika fimbo za kutosha usingekujibu hivyo.
Huyo mtoto uliwahi kumchapa mara ngapi?
Inaonekana umemlea kwa kumdekeza ukidhani ndio unamuonyesha upendo, ungekuwa unatandika fimbo za kutosha usingekujibu hivyo.
Nilikuwa namchapa zamani huku nilipo mtoto hapigwi wana complain sheet wanapewa toka shule akishtaki tu haki za watoto hao mlangoni
Tatizo linaanzia hapo,Hawapigwi hawa Watoto wa siku hizi
Nafikiri najitahidi kumlea katika malezi mazuri na ya kirafiki zaidi na uwazi kwa kunijibu hivyo sioni kama ni big deal
I see!!Nilikuwa namchapa zamani huku nilipo mtoto hapigwi wana complain sheet wanapewa toka shule akishtaki tu haki za watoto hao mlangoni
Nilikuwa namchapa zamani huku nilipo mtoto hapigwi wana complain sheet wanapewa toka shule akishtaki tu haki za watoto hao mlangoni
kabla ya kufuata ushauri wa mtu mwingine fabya haya:-
1. Mwite muulize wewe ni nani kwake (oviazi jibu ni mama)
2. pili mweleze endapo alitambua hilo basi afuate masharti hayo na sio ombi
3. tatu usimchekeshe hata suna kuwa kauzu uzuuu. akinuna fanya kama hujaona vile
4. pia baada ya hapo anza kumfuatilia a-z