Jinsi ya kukupiga picha chat kwenye simu

Jinsi ya kukupiga picha chat kwenye simu

Yerusalem

Member
Joined
Oct 5, 2011
Posts
71
Reaction score
78
Habari wanajukwaa naomba kufahamiswa jinsi ya kupiga picha chat na kumtumia mtu,natumia simu ya samsung s 3
 
Nadhani una maanisha screen shot !
Kama ndiyo !


Anza kushikilia button yakuzimia ! Fuatia na Home button kwenye picha pale chini !

Shikilia zote kwapamoja ! Utasikia shutter sound ! Apo itakuwa tayari !

Samahani sijatumia kiswahili ipasavyo !
samsung_galaxy_s3_closeup_home_button.jpg
 
Mkuu snipa na never give up ahsanteni kwa michango yenu mmenisaidia
 
Nimejaribu
 

Attachments

  • 1398443763308.jpg
    1398443763308.jpg
    40.8 KB · Views: 112
Back
Top Bottom