HAZOLE JF-Expert Member Feb 25, 2011 1,551 710 Oct 2, 2012 #1 Jamani hivi vivimbe vinaitwa sundo mnavifaamu? vimenitokea viwili miguuni. v inatokana na nini? dawa yake ni nini? nawasilisha kwa madaktari jamani
Jamani hivi vivimbe vinaitwa sundo mnavifaamu? vimenitokea viwili miguuni. v inatokana na nini? dawa yake ni nini? nawasilisha kwa madaktari jamani