Mim nikitaka simu dukani naichukua naanza kuikagua..ni haki yangu mteja..kama hutak naenda duka lingine
Kuhusu kuweka bando..nawasha hotspot kwangu naunga na hyo mpya naanza sasa kazi.
Mm simu mpya naingiza mpka download mode mbele ya muuza duka.
Sent from my SM-G920P using
JamiiForums mobile app