Ndugu wana jf naomba msaada jinsi ya kujizuia kupizi mapema. kiukwel sijawahi piga punyoto toka mwaka jana 2013 january nifanye mapenzi had mwez huu nilipofanya mapenzi na mchumba angu hii wiki ya pili huwa na pizi mapema kabla hata dk 2. na nikikaa dk 15 mzee anadai tena kwa hasira na atachukua hat saa nusu saa had dk 45 kuja kupizi ila kwa laundi ya kwanza huwa fasta. na siku ya kwanza nakumbuka nilipizi kwenye mlango wakati inaingia. je nifanyeje ndugu zangu nataka nikianza laundi ya kwanza ichukue hata dk 30 hadi 45