Hakikwanza
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 4,055
- 1,024
Ndugu zangu naomba mwenye ujuzi wa internet ya airtel naomba anisaidie niunganishe simu yangu nokia N50 na mtandao wa airtel. Asanteni
Mkuu hio ni process ya kuunga na package ya airtel ya 400 mb kwa 2500/= mkuumsg internet=>15444
Watakurudishia msg reply ndio.
Hapo kwisha habr.
Mkuu hio ni process ya kuunga na package ya airtel ya 400 mb kwa 2500/= mkuu
Na wew pia have a blessed weekend 😛oanashukuru kwa msaada wenu Mungu awabariki sana