moe junior
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 910
- 947
Salaam waungwana! Ndugu zanguni naomba nipate ABC's kuhusu Hazina saccos, namna ya kujiunga, faida zake, hasara zake, mikopo yake n.k.
chukua hii link ina kila kitu unachouliza hapo (samahani mods)Salaam waungwana! Ndugu zanguni naomba nipate ABC's kuhusu Hazina saccos, namna ya kujiunga, faida zake, hasara zake, mikopo yake n.k.