Habari wadau,
Najaribu kujitoa kama share holder kwenye kampuni fulani kwa sababu ya comflict of interest na ninapofanya kazi.
Niiandika barua kwa maCEOs wenzangu wameipokea je kuna utaratibu mwengine natakiwa kuufuata? Binafsi sihitaji malipo wala nini nahitaji kujitoa kwa njia ya amani na maamuzi binafsi. Kampuni haijaanza kufanya biashara ya aina yoyote. Asante