Jinsi ya kujisajili katika mfumo NeST kama Mzabuni

Jinsi ya kujisajili katika mfumo NeST kama Mzabuni

luck_martine

Member
Joined
Jun 6, 2023
Posts
10
Reaction score
6
Jinsi ya kujisajili katika mfumo wa NeST kama Mzabuni Fuata hatua zifuatazo;

1. Ingia kwenye Tovuti: www.nest.go.tz

2. Bofya 'Register as a Tenderer'

3. Chagua nchi kwa kubofya 'Select Country'

4. Ingiza namba ya simu na barua pepe, bofya 'Register*

5. Fungua jumbe uliotumwa kwenye barua pepe yako, kisha bofya 'Here' kuamilisha (activate) akaunti yako.

6. Tengeneza nywila, kisha bofya 'Submit'

7. Kujisajili kama kampuni ingia kwenye akaunti yako ya
NeST na bonyeza 'Start Registration'

Kwa mawasiliano zaidi piga no 0612885532 WhatsApp 0711697881 Karibu upate huduma rafiki Kwa gharama nafuu
 
Leo mtandao wa Nest ni takataka toka saa 9 haupatikani
 
Kwenye CV, Academic Qualifications na referees ndio uweze kuendelea kuona tender nacho ni kipengele maana kuna masupplier hawajasoma.
 
Kwenye CV, Academic Qualifications na referees ndio uweze kuendelea kuona tender nacho ni kipengele maana kuna masupplier hawajasoma.
Mkuu hiyo ndo nzuri kuna wakandarasi walikuwa na tabia ya kutumia cv za watu bila kuwahusisha
 
Back
Top Bottom