Jinsi ya kujipatia kipato kupitia google adsense

Jinsi ya kujipatia kipato kupitia google adsense

vizur but nimekula sana ela za adsense miaka km miwili iliyopita for now blogger sio ishu maybe youtube napo ni pagumu bila akili usione ni km easy ndugu yangu ila km una mda unaweza fanya na ukapiga mpunga
Tatizo wabongo tunapenda hela za rahisirahisi....kwani mtoa mada kasema ni easy money?
 
Tatizo wabongo tunapenda hela za rahisirahisi....kwani mtoa mada kasema ni easy money?

Bongo bado changamoto sana, kitu kisipolipa vizuri sasahv kinakua negative, wakati people make enough money out of it
 
Back
Top Bottom