Tigo na Voda wapuuzi sana,bila sh.100 hupati access ya nmb mobileNenda kwenye ATM
Chomeka kadi
Chagua NMB Mobile (inakuwa chini, upande wa kulia)
Chagua Deactivate Number
Ingiza Password ya NMB Mobile (sio password ya ATM)
Utapata msg kwenye namba yako kuwa umefanikiwa kujiondoa.
Pakua app kuchek salio bureTigo na Voda wapuuzi sana,bila sh.100 hupati access ya nmb mobile
Banks Siyo Rafiki Wa MasikiniNenda kwa menu ya NMB zeni kosea password mara 3 wataifunga hapo itakua kutoa mpk ATM
Free lunch ipo halotel, ttcl, airtel.Tigo na Voda wapuuzi sana,bila sh.100 hupati access ya nmb mobile