Jinsi ya kujiandaa na mtihani.

PAGAN

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
12,121
20,003
13b677d99e5cfd48bbc4070ee21d3911
 
Kuna jamaa nilisoma naye, alikuwa anachafua ubao mzima akishusha maths, lakini form alilamba division four na math yenyewe alizungusha


Man hao watu kila darasa wapo, kuna mmoja tulisoma nae alijifanya yeye ndio bingwa wa namba kila jioni lazima abaki shuleni kuwapa mademu tuition ya bure, tulivyomaliza paper kabla ya majibu alikula kona hajaonekana mpaka leo.
 
Back
Top Bottom