Jinsi ya kuinstall Loopback Adapter

Kilongwe

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
423
115
Kuna wakati inafika unataka kufanya setup kwa kutuia simulator kama vile wale wanaopenda kutumia GNS3,sasa je unajua ni ninsi gani unavyoweza kuset loopback address na kukuwezesha kulink simulated network yako na real world?? Kwa step chache tu unaweza kufanikisha hili

1.Nenda kwenye search na type hdwwz.exe





2.Itatokea wizard ya kuongeza hardware kama inavyooonekana kwenye picha ,click next





3.Katika machaguo mawili,chaguo hilo la kuinstall manually





4.Chagua kwenye network adapters





5.Upande wa kushoto wa manufacture chagua Microsoft,na upande wa kulia scroll mpaka upate Microsoft Loopback Adapter





6.Click next,umemaliza






Matatizo: Kwa wale ambao wapo kwenye maofisi au mashule,mara nyingi sana ili kuzuia upoteaji wa bandwidth ama sababu za kiusalama huwa tunafanya kitu kinachoitwa IP-MAC binding,hii inamaana,authenticator anabind kila MAC na IP address yake,sasa kama mujuavyo kila baada ya MAX age inatakiwa kuautheticate,hivyo kama SP au Network Admin wako yupo makini,atakudrop down kwakuwa Loopback nayo itaanza kusend some packets kwenda kwenye public net na kukufanya uonekane unataka kutumia MAC mbili kwa IP moja,so wasiliana na Administrator wako kwa hilo au disable it wakati huiitaji.

NB:Angalia message ambayo unaweza kupambana nayo,hii imenitokea kwakuwa ninatumia connection ambayo ipo very strict,






Ni hayo tu kwa leo wakubwa nikitegemea mutakuwa mumepata angala kidogo.

Source:Afroit
 
Kama unaona huitaji,basi hakuna haja ya kuuninstall,unaweza kuizima tu kwa kwenda system Mng-->Hw then utaangalia kwenye network card halafu stop.There u go..
 
Kilongwe,
Ni software gani inayo bind MAC ADDRESS na IP?
Inawezekana umelizungumzia kabla bt im a nwe member, nimeona umezungumzia AfroIT, najaribu kutembelea huko pia.
goodday
 
Back
Top Bottom