babuukikolo
Senior Member
- Jan 1, 2014
- 146
- 167
Habarini wana jamvi,
Jana nilikuwa najaribu kuextend wireless network kama ifuatavyo:
Natanguliza shukrani
Asanteni
Jana nilikuwa najaribu kuextend wireless network kama ifuatavyo:
- Ni jengo la floor 3 so nimeweka utp cable kwa kila floor
- Nimenunua tp-link w801 acess points 3 na kuzinconfigure kama repeaters n nikaweka same ssid,mac adress,password na encryption kama router iliokuwepo.
- Nimedisable dhcp kwenye access point zote. Na ip address nimeacha kama static.
- Default address ya hizo access points zote zimekuja na 192.168.0.254. Sijazibadilisha nimeziacha kama zilivyo.
- Default address ya router yangu ni 192.168.1.1 ni aina ya tp-link ila model tofaut kidogo na hizo acess points.
- Nikijaribu kuset hizo access point hizo ssid,password na mac address nikirestart haifungui hiyo default page hadi nibinye reset button sijui shida ni nn.
- Kwenye router nime enable dhcp ila nimeconnect napata ip adress conflict sijajua shida iko wapi bdo.
Natanguliza shukrani
Asanteni