mayayasilas
Member
- Jan 27, 2013
- 43
- 5
Nataka kujua hasa kama nahitaji kuinstal.tena windows ama nifanye nini jamani..ushauri pleaseee
n PM mkuu nikusaidie!!! kama upo dar!!
Shida ambayo naipata ni kuirun vipi hii program as an administrator.. maana siioni hyo option niki right click