Jinsi ya kuifanyia simu root assess


Mkuu, sorry, nahitaji msaada kidogo:

1. Hizo download zote nazifanya kwenye pc au simu?

2. Kwenye kuandika maneno kwenye cdm naweka na hizo bracket au, Maana hapo nimeshindwa kuelewa.

3. How to unlock bootloader?

4. TWRP and flash TWRP? How?
 
Mkuu, sorry, nahitaji msaada kidogo:

1. Hizo download zote nazifanya kwenye pc au simu?

2. Kwenye kuandika maneno kwenye cdm naweka na hizo bracket au, Maana hapo nimeshindwa kuelewa.

3. How to unlock bootloader?

4. TWRP and flash TWRP? How?
Kwenye pc
 
Mkuu, sorry, nahitaji msaada kidogo:

1. Hizo download zote nazifanya kwenye pc au simu?

2. Kwenye kuandika maneno kwenye cdm naweka na hizo bracket au, Maana hapo nimeshindwa kuelewa.

3. How to unlock bootloader?

4. TWRP and flash TWRP? How?
Nyingine nimezieleza km ni kwenye simu bas tia kwa simu
 

Sorry boss.. tuvumiliane, wengine ni slow learner Kaka.

1. Hiyo bootloader ntawezaje ku unlock, kwa kutumia app gani?

2. How to flash hiyo TWRP?

3. Mimi kingo root yangu haina folder, yaani ipo independent, ile ya exe. Nafanyeje hapo? Na je hiyo TWRP naweka sehem Moja na hiyo kingoroot?

4. Hayo maneno ya ku type kwenye cdm yanakuwa na hayo mabano?

5. Nabonyeza wapi hiyo ku flash?
 
Ndiyo ndugu yangu
 
Umesema miongoni mwa faida ya ku root simu ni Kuiongezea uwezo simu kwa kuongeza version baada ya Ku root Je! Itajiongeza yenyewe automatic baada ya Ku root au kuna sehemu utachagua Wewe iongezeke hadi version IPI?? Au inaongezeka kwa step1 kama ilikuwa 5.0 unaweza kuwa 6.0??? Na IPI faida ya ongezeko LA version kwenye simu??? Je labda inaweza ongeza uwezo wa camera au?? Nahitaji kujua b4 sijaamua Ku root kwakweli
 
Atakaeweza ku-root simu yangu aje nitalipa gharama. Nipo Sinza.

Ni HTC Desire
 
Mkuu halo solution uwe na firmware unlocked or peleka kwa nafundi software wataunlock ila km inadai code ukiweka laini nyingine hemu niambie nikufanyie utaratibu .
ZTE from Tigo nikiweka lain nyingine inaniomba code,namba msaada kakamkubwa,halafu ndiyo simu inayoyunza moyo kwangu
 
Hii nzuri
 

Mkuu vipi kwa sisi wa HTC?
 
Naomba kuuliza ukitaka kufuta Google account ya mtu mwingine kwenye simu unaifutaje bila kujua password zake

nakumbuka nilishawahi kufanya hii kitu kwenye simu ya jamangu ya Vodafone VFD 300, aliinunua mkononi mwa mtu baada ya kui-factory reset ikawa inataka aweke google account iliyokuwepo mwanzo, nilichofanya nikaingia youtube nikakutana na video ya jamaa fulani hivi anaelezea jinsi ya ku-bypass gfoogle account, nilifuata maelezo na hatimae mzigo ukaamka...

jaribu ku-google mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…