Jinsi ya kuifanyia simu root assess

Mkuu halo solution uwe na firmware unlocked or peleka kwa nafundi software wataunlock ila km inadai code ukiweka laini nyingine hemu niambie nikufanyie utaratibu .
Napataje unlocked firmware, Maana nimetafuta mtandaoni bila mafanikio..
 
Nashkur sana mkuu ila sasa baada ya kuona hizo hasara naogopa kuroot maana naeza uwa my phon
 
Wale wenzangu wakuhitaji kuroot simu zao zenye android version 6 .0 na 7.0 tuonane hapa ni mahala pake .
 
Wale wenzangu wakuhitaji kuroot simu zao zenye android version 6 .0 na 7.0 tuonane hapa ni mahala pake .
Mimi hapa nina tablet ya voda ina andoid 6.0 nataka kuiroot. Nimejaribu kingroot na kingoroot version ya simi na pc zote zimegoma. Nifanyeje
 
Kuna njia muhimu ili ufanikiwe lkn kwa hiyo njia yako huwezi fanikiwa ndugu yangu
 
Hapa ili ufanikiwe lazima uwe na FLASH TWRP , SUPERSU NA KINGOROOT .
 
Hii kitu kuroot cm sitaki kuisikia, mwaka juzi nilijaribu kuiroot yangu ndo ikanifia mkononi imekataa kuwaka hadi kesho
 
KABLA YA KUROOT SIMU YAKO FANYA HATUA NILIZOTOA MWANZONI KWENYE HII THREADS THEN FUATA HATU HIZI HAPA KWA SIMU AMBAZO NI KUANZIA ANDROID VERSION 6.0 NA 7.0 ILA NEXUS HATUJAFIKA HUKO KUNA NJIA ZAKE .

HAYA KWANZA KABISA FANYA YAFUATAYO ILI UFANIKISHE KUROOT SIMU YAKO :-
1.UNLOCK BOOTLOADER .
2.BACKUP USERDATA ILI USIPOTEZE VITU MUHIMU .

TWRP
FLASH TWRP

HAYA DONWLOAD (twrp img) na KINGO ROOT TOOLS .

ukimaliza fuata haya maelezo pia


Fungua KINGO ROOT TOOLS folder, baada ya hapo type CDM kwenye adress bar baada ya hapo bonyeza ENTER .na uandike yafuatayo baada ya kufunguka .
adb reboot bootloader
fastboot boot ( pull the twrp.img into cdm)

baada ya hapo weka supersu kwenye internal storage ya simu yako pamoja na memory card.Bonyeza kuflash baada ya hapo itamaliza simu itarestart na moja kwa moja automatically supersu itacomfirm umeroot baada ya hapo weka ROOT CHECKER itakwambia congratulation umefanikiwa kuroot simu yako haya enjoy .
kama hujaelewa njoo pm .
 
Reactions: Paa
Hii kitu kuroot cm sitaki kuisikia, mwaka juzi nilijaribu kuiroot yangu ndo ikanifia mkononi imekataa kuwaka hadi kesho
Naiwasha ndugu kama upo tyr simu gani hiyo msingi uwe na pc kama inadetect verry simple kuiwasha
 
Shukrani nitaleta mrejesho baadaye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…