Jinsi ya kuifanyia simu root assess

Tecno wx3 nime root kwa kutumia kingroot,kingoroot, imekataa kabisa.
hii simu android version ni NOUGAT narudia tena kuanzia android 6.0 mpk 7.0 hizi simu huwezi root bila pc yaani mpk pc
 
Mkuu Bora umekuja humu mwenyewe nilitaka nijue kuroot simu Ambayo ni Android Version yake ni 7 yaani ukinipa maelezo nikaweza nitakushukuru sana mkuu.
 
hii simu android version ni NOUGAT narudia tena kuanzia android 6.0 mpk 7.0 hizi simu huwezi root bila pc yaani mpk pc
Mkuu habari... Nielekeze namna ya ku root TECNO R6 7.0, Maana kila njia imeshindikana..

Nimetumia kingroot kwa pc lakini hakuna mafanikio, nikatumia kingoroot pia hakuna mafanikio.

Msaada tafadhali.

Pia naomba kuelekezwa namna ya kufanya network unlock ya the same phone.

Ahsante
 
Simu gani ndugu unataka ufanye unlock network ?
 
kuroot simu yako version 7.0 inawezekana nitaorodhesha vitu muhimu ili uroot simu yako ila hakikisha una pc pamoja na usb cable .
 
Naomba kuuliza ukitaka kufuta Google account ya mtu mwingine kwenye simu unaifutaje bila kujua password zake
 
Habarini ndug zangu nnatumia tecno c7 nataka kuiroot ivo naomba kwa yeyote anaefaham hii process anielekeze
Mkuu threads yako hii hapa lkn unasema siwezi root simu yako mimi bila pc wakati naroot simu za kuanzia version 5.1 na kushuka bila pc , ingelikuwa samsung ndo ngumu kwa hizi new version lkn hata hivo zinarootiwa nazo
 
Bado hujaroot c8 mkuu, ndo nilichokuwa nikihitaji
c8 mkuu naroot nimekupm acha ubishi twende kwa vitendo simu zote njia ni moja ya kuroot aseee km inakubalika bila pc na simu yako amini inarootika bila pc
 

Simu yako ulisema c8 sasa ntashindwa vp kuroot simu android version yake ni lollipop ? 5.1 mkuu hii naroot bila pc km huamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…