Kabla ya kuroot simu yako fanya yafuatayo kwanza
.Simu yako iwe na moto asilimia 50% au juu zaidi .
.Uwe na internet connection wakati wa kuroot simu yako .
.Hakikisha unaporoot simu yako uwe umefuata muongozo kama huu
Moja fungua _setting_ kwenye simu yako namna hii
Shuka chini utakutana na sehemu imeandikwa ABOUT PHONE haya fungua hapo Then angalia hapo utakutana na sehemu imeandikwa [HASHTAG]#BUILD[/HASHTAG] NUMBER# haya
namna hiyoo haya click hapo mpaka itakapokwambia tyr umebuil developed option haya rudi nyuma hadi kwenye About phone utakuta kuna sehemu imeongezeka inaitwa >developer option > haya click hapo
iturn on hapo pamoja na USB DEBBUGING ukimaliza sasa mpaka hapo bado step moja .Salia hapo setting nenda sehemu imeandikwa> Security> haya bonyeza hapo utakutana na vipengele vingi haya click hapo >unknown sources weka tiki
mpk hapo ndugu yangu umemaliza haya turudi kwenye swala muhimu KUROOT SIMU YETU ILI UFANIKIWE BILA PC UFANYEJE ? BINAFSI NAKWAMBIA HUWEZI ROOT SIMU INAYOANZIA NA VERSION 6.0 BILA PC HAPO NDUGU MPK PC ILA ZINAZOSHUKA MPK CHINI TWANGA BILA PC MZIGO UNAKAA VEMA ASEE ..
HAYA INGIA GOOGLE SEAECH AU MOZILLA AU CHROME SEARCH KITU KINAITWA KING ROOT APK DOWNLOAD ,HII HAINA CHENGA HAYA INSTALL ILA KUWA MAKINI UKIWA UNAINSTALL SUBIRI HAPO YATATOKEA MAANDISHI YANAKUKATAZA USIINSTALL KUNA KAMSHALE KANAMNA HII^ ,Ila kameelekezwa kwa chini haya click hapo keep unsafe itatokea bonyeza hapo na itainstall ikimaliza fungua hiyo king root then anza process za kuroot kuna kamshale kanajitokeza ukifungua king root namna hii ^ bonyeza hapo mpk litokee neno start haya itaanza kustart mengine utayaona na kusolve taratibu na bakia hapo hapo itachukua km dakika 6 au 5 kumaliza na kukuambia ROOT SUCESSFULLY haya weka ROOT CHECKER ipo playstore ili kujiridhisha km kweli ikikwambia CONGRATULATION jua tyr mpk hapo anza kuitengenezea simu yako mambo mazuri kama Lucky patcher ,titanium,l _battery n.k .
MPK HAPO TUMEMALIZA ULIZA NAWE