Jinsi ya kuhack akaunti ya KAHTAAN

Jinsi ya kuhack akaunti ya KAHTAAN

Status
Not open for further replies.
anamajini MAIMUNA, SHARIF na MAKATA

Kwa hao majini pamoja na upako wako huwezi wakemea au bado hujakomaa ki-imaani?

Naomba jitaahid sana kuwa karibisha wale jamaa zetu wangine naona wameuchuna na kujifanyiza ati hawajanisikia wito wangu...!

La sivyo hoyo bwana . Dr Kahtaan tumuache aendelee kuhodhi hiyo MAN OF THE DAY au wasemaje Remote ...?!
 
Last edited by a moderator:

ni kwa kuwa jini lake SHARIF, MAIMUNA, MAKATA yananguvu sana
 
Last edited by a moderator:
Kuna Mtu Anaitwa Y.n ndio anamwezaga. siku hizi simwonagi tena humu jukwaani cjui kapigwa ban
 
ni kwa kuwa jini lake SHARIF, MAIMUNA, MAKATA yananguvu sana

Hoyo jamaa afanyiza mtezo gani hapa au akamea majini...?!!.
 
Attachments

  • 1393689672952.jpg
    1393689672952.jpg
    10.1 KB · Views: 123
Nilikua sijui kilaza ni mtu gani kumbe ni kama huyu muanzilishi wa hii thread kaka kahtaan amekufanya nini? Au ukweli wake unakuchoma moyo? Kama unashindwa kujibu post zake ata wewe na moyo wako tu mzijadili mkiona ni njia sahihi kwani wewe utakua wa mwanzo kuingi kwenye nuru? Sisi wengine ndo tumezaliwa nayo Alhamdulillah...njoo kaka....
 
Last edited by a moderator:
Huyu jamaa mi bwana simpendi tuu.., namchukia kupita maelezo..! kwanza ana-lugha mbovu.., nilishawahi kuona post yake eti anasema ile mipakti ya konyagi ni damu ya Yesu, em' just imagine..!

Mkuu unamjua king julian lakini??

Au umechagua jina bila kujua!?

Ngoja nikuwekee picha yake!
 
Attachments

  • 1393690183507.jpg
    1393690183507.jpg
    24.6 KB · Views: 138
Dr Kahtaan, hongera sana kwa Darsa unalotoa hadi Mdau anadhihrisha chuki yake wazi juu yako jua Misumari imefka penyewe......., Mola mlezi akuzdshie kila la kheri In shaa allah!!!!!!
 
Nilikuwa nataka kufahamu.., nikitaka kuhack akaunti ya Kahtaan nafuata procedure zipi..?? msaada wa haraka tafadhali..!!

Ni rahisi sana tamka haya maneno mara 100. kwa dhati ya moyo.

"Ashhadu Anllah Illah haillah llah waashadu anna muhammad rasurrullah".

ukishindwa kufunguka rudia tena mpaka ikubali.
 
Ni rahisi sana tamka haya maneno mara 100. kwa dhati ya moyo.

"Ashhadu Anllah Illah haillah llah waashadu anna muhammad rasurrullah".

ukishindwa kufunguka rudia tena mpaka ikubali.

Ndo inamaanisha nini sasa..
 
Acha kumtia matungu kijana cha watu Buchanan, mada ya kutaka kuujua ukweli tuishaimaliza tangu jana, hoyo Buchanan humu Jf kuanzia muda ule hadi hivi sasa ni mwananchi/member wa kawaida tu humu Jf kama mie na weye.
Ahsante
 
Last edited by a moderator:
Wagalatia bwana,wameishiwa hoja sasa,uzuri wa kahtaan huwa anatumia maandiko tu,hata hizo kashfa mnazosema sijui zinatoka wapi kama sio kwenye maandiko yenu?
 
Last edited by a moderator:
dunia nzima hackers first class hawazidi 1000 na kati ya hao wawili wana toka Tanzania
 
Huyu jamaa mi bwana simpendi tuu.., namchukia kupita maelezo..! kwanza ana-lugha mbovu.., nilishawahi kuona post yake eti anasema ile mipakti ya konyagi ni damu ya Yesu, em' just imagine..!

Kunya anye kuku tuu akinya bata kaharisha!Zile kashfa wanazotoa wenzio juu ya Uislam unazichekeleeea!Mmnnxxxyyyy
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom