Jinsi ya kuhack akaunti ya KAHTAAN

Jinsi ya kuhack akaunti ya KAHTAAN

Status
Not open for further replies.

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
40,801
Reaction score
46,923
Nilikuwa nataka kufahamu.., nikitaka kuhack akaunti ya Kahtaan nafuata procedure zipi..?? msaada wa haraka tafadhali..!!
 
Kamanda wewe ni pm hata mimi namtafuta sana jamaa huyu,tufanye ushirikiano tu
 
ONYO..
Jamaaa anamajini atakurushia naomba acha ku'deal nae
 
Nilikuwa nataka kufahamu.., nikitaka kuhack akaunti ya Kahtaan nafuata procedure zipi..?? msaada wa haraka tafadhali..!!

Jamani nifahamisheni pengine na mmi inanihusu akaunti ya kahtaan ni ipi hiyo?
 
Nilikuwa nataka kufahamu.., nikitaka kuhack akaunti ya Kahtaan nafuata procedure zipi..?? msaada wa haraka tafadhali..!!

Mkuu ukiipata ili uifanye nini!?

au kosa langu kuwafundisha watu kama Remote kuachana na ibada ya Sanamu na kufanya ibada ya Mungu Mmoja!?

Na imani kabisa kuwa hata Yesu angekuwepo leo asingependa hii tabia ya account hacking!
 
Last edited by a moderator:
ONYO..
Jamaaa anamajini atakurushia naomba acha ku'deal nae

Katika siku ambazo umeniangusha kama mlevi ni leo...!

Yaani wamaanisha huwezi nena japo kwa LUGHA MPYA majini yakasssshindwa au ile ni IMANI ya mdomoni tu...?!!

Au umekusudia kutuangusha watu wa CCT kwa hoyo jamaako @ Dr Kahtaan ..?!!

Naona wamfanzia promo mkuu.

Sasa nakuitia Padre mgen Eiyer Matola ambaye ni bintiye wa kufikia Buchanan @Schindler na wangine wooote wenye kuguswa na hili tukio lako.
 
Last edited by a moderator:
Anakutisha nini mbona mweupe tu hana jipya wala hoja

Huyu jamaa mi bwana simpendi tuu.., namchukia kupita maelezo..! kwanza ana-lugha mbovu.., nilishawahi kuona post yake eti anasema ile mipakti ya konyagi ni damu ya Yesu, em' just imagine..!
 
Katika siku ambazo umeniangusha kama mlevi ni leo...!

Yaani wamaanisha huwezi nena japo kwa LUGHA MPYA majini yakasssshindwa au ile ni IMANI ya mdomoni tu...?!!

Au umekusudia kutuangusha watu wa CCT kwa hoyo jamaako @ Dr Kahtaan ..?!!

Naona wamfanzia promo mkuu.

Sasa nakuitia Padre mgen Eiyer Matola ambaye ni bintiye wa kufikia Buchanan @Schindler na wangine wooote wenye kuguswa na hili tukio lako.

anamajini MAIMUNA, SHARIF na MAKATA
 
Last edited by a moderator:
Huwa namkubali sana mkuu Kahtaan ana nondo za ukweli...big up mkuu endelea kukimbiza.
 
Ina pesa kiasi gani au ni zile pesa za EPA zimeifadhiwa humo, by the way weka picha..
 
Huyu jamaa mi bwana simpendi tuu.., namchukia kupita maelezo..! kwanza ana-lugha mbovu.., nilishawahi kuona post yake eti anasema ile mipakti ya konyagi ni damu ya Yesu, em' just imagine..!
mmmhhhh thats why i am an atheist..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom