Jinsi ya kufungua pc. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi ya kufungua pc.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by songoros, Sep 10, 2012.

 1. songoros

  songoros Senior Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 156
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Naombeni msaada jaman.my laptop nikiifungua inaanza kusearch window then but haiwaki.ikitaka kuwaka INA restart kusearch window tena.MSAADA JAMAN NIFANYEJE...msaada please!!!msaada please!!!
   
 2. songoros

  songoros Senior Member

  #2
  Sep 11, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 156
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  tusaidiane wakuu!!!
   
 3. S

  Sangomwile JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 3,091
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Post yako naifuatilia toka jana lkn sioni wataaramu wakichangia.Nami ninatatizo kama lako,jaribu kubadiri heading upost upya.
   
 4. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #4
  Sep 11, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,740
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Mhmmmmm!!! Sijakuelewa mkuu...embu naomba unifafanulie vizuri ili niweze kukupatia ufumbuzi wa tatizo lako.
   
 5. KML

  KML JF-Expert Member

  #5
  Sep 11, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  jinsi ya kufungua laptop,anza kutoa betri chukua screw driver fungua screw au sema laptop yako aina gani tukuwekee link uone jinsi ya kufungua
  Ila kama inagoma kuload window then try kurepea window meeeen....
   
 6. Shaffin Simbamwene

  Shaffin Simbamwene Verified User

  #6
  Sep 11, 2012
  Joined: Nov 16, 2008
  Messages: 1,157
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  chezea Man KKK
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. songoros

  songoros Senior Member

  #7
  Sep 12, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 156
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Nihivi mkuu nikibonyeza kitufe cha kuwasha inawaka then inaanza kusearch window then ikitaka kudisplay muonekano wa desktop INA restart upya kusearch window.inaamaana mchezo unakua ndo huo..msaada please..
   
 8. u

  ukweli2 Member

  #8
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  yaani inashindwa kuboot???????
   
 9. songoros

  songoros Senior Member

  #9
  Sep 12, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 156
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  I think kitu kamahicho..
   
 10. u

  ukweli2 Member

  #10
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  jaribu kuiwasha kwa safe mode click hapa kwa maelezo(Getting into Windows Safe Mode) ikiwaka inabidi ufanye system restore

  • Open System Restore by clicking>>>
   the Start button>>>
   click All Programs,
   click Accessories,
   click System Tools, and then
   click System Restore.*

   chagua tarehe kabla hilo tatizo alijaanza!!!mfano kama tatizo limeanza tr 28/10/2012 wewe chagua 20/10/2012 then itafanya restoration naita restart yenyewe ....ikigoma kuwaka kwa safe mode au kufanya system restore wadau watakupa njia nyingine..
   
 11. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #11
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  daaah...ku search window...ku boot..kufungua kompyuta..!!??? mi bado hata swali sijalielewa ki ukweli?
   
 12. Shaffin Simbamwene

  Shaffin Simbamwene Verified User

  #12
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 16, 2008
  Messages: 1,157
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Huyu ni mgeni wa haya madude kaka........so kashindwa kujipambanua.

  Kifupi pc yake hai boot shauri ya kuingiza program au drivers ambayo haiendani na OS yake ama ukimwi ushaishambulia sector muhimu so aanze na solution aliyotoa ukweli2 ikishindikana arepair windows au aformat kabisa na kuanza upya.
   
 13. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #13
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  na hapo ndo shida inapoanzia sasa...maana kama ni mgeni kiasi iko sasa itakuwa kazi sana kuelewa hata kumuelekeza nini cha kufanya...kama vipi ni bora atafute mtu mwenye idea kidogo ya mambo haya la sivyo asije akapoteza kila kitu kilichopo kwenye pc yake kama alivyofanya mdau flani hivi humuhumu jamvini watu walimuelekeza ku repair ye akaformat bila kujua...ila ushauri wangu kwa njia ya haraka hapo ni kurepair windows tu kama tatizo ni hilo...
   
 14. songoros

  songoros Senior Member

  #14
  Sep 12, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 156
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  soon nikiiwasha unakuja ujumbe,HUU"PLEASE SELECT THE OPERATING SYSTEM TO START
  .Microsoft window xp professional
  .Microsoft window xp professional
  Then hua naselect ya kwanza then na clic ENTER .
  NIKICLICK enter unakuja ujumbe huu
  "WE APOLOGIZE FOR THE INCONVENIENCE ;BUT WINDOWS DID NOT START SUCCESSFULLY.A RECENT HARDWARE OR SOFTWARE CHANGE MIGHT HAVE CAUSED THIS.Kwahiyo process zote za kuwasha zinakomea Hapo.nafikiri utakua umenielewa.
   
 15. songoros

  songoros Senior Member

  #15
  Sep 12, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 156
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  imegoma ndugu!!
   
 16. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #16
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  songoros sema ni Laptop ya aina gani? maana hata mm nilikuwa nina Laptop hp6110 ilikufa kwa ugonjwa wa namna hiyohiyo hebu jaribu kuiwasha hiyo yako ya aina yoyote na kukandamiza hapo katikati ya spacebar na chumba cha mouse km itafungua window na kuendelea Programe zingine lakini ukiachia inazima nijulishe
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. u

  ukweli2 Member

  #17
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  pole sana
  ukijaribisha hiyo Microsoft window xp professional ya chini inasemaje?
   
 18. Williedm

  Williedm JF-Expert Member

  #18
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 494
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 45
  Ndo matatzo ya kuweka windows mbili,
  so washa safe mode af nenda ka unstall antivirus pamoja na software ulizo install za mwsho kabla haijazma.
  Bada ya hapo mchezo umekwsha.
   
 19. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #19
  Sep 12, 2012
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  ya kwangu ukiwasha kwa kushikilia kitufe kati ya mouse inawaka hata kabla ya kuachia inakata moto
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #20
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Mahesabu na wewe ni aina gani hiyo? unajua kuna Processor na vitu kadhaa ndio maana namuuliza songoro ni aina gani km ni hp nimsaidie halafu jaribu kukaza zile nut za chini na kucheck Battery ukitoa na kuirudishia ikafanya hivyo hivyo check
   
Loading...