Jinsi ya kufungua kutuma sms kwenye facebook.

JB MUNA

Senior Member
Joined
Dec 24, 2012
Posts
147
Reaction score
17
Wana JF wenzangu kuna mtu ameniblock kutuma friend request pia kutuma sms kwa muda wa siku 30 kwa watu ambao bado hawajawa marafiki zangu kamili ila nafahamiana nao.Nifanyaje ili niweze kuifungua niendelee kupata huduma hiyo?Na je nawezaje kumfahamu yule mtu aliyeniblock?Asanteni sana!
 
Huwezi kumpata...labda ufungue account mpya kwa jina jingine
 
Wana JF wenzangu kuna mtu ameniblock kutuma friend request pia kutuma sms kwa muda wa siku 30 kwa watu ambao bado hawajawa marafiki zangu kamili ila nafahamiana nao.Nifanyaje ili niweze kuifungua niendelee kupata huduma hiyo?Na je nawezaje kumfahamu yule mtu aliyeniblock?Asanteni sana!

Ngoja nimalize kuoga, nikirudi nitakujibu. Jibu lake ni rahisi sana.
 
Mkuu KIRIKOU WA KWANZA nieleweshe basi jaman ntashukuru ukinipa maujuzi hayo!
 
Iko hivi: hiyo situation inatokea tu, endapo pale unapo-send friend request nyingi kwa watu unaowafahamu na usiowafahamu pia. So hakuna mtu yeyote aliyeku-block ispokuwa ni FB wenyewe ndio wameku-block. So usiogope sana baada ya siku 30 kila kitu kitakuwa sawa!
 
Back
Top Bottom