wickerman
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 408
- 252
WARNING: YOU`RE FOLLOWING THIS GUIDE AT YOUR OWN RISK!... I DO NOT HOLD ANY RESPONSIBILITIES IF YOUR MODEM TURNS OUT DEAD!...
So, kitu cha kwanza kabisa kufanya ni kwenda kwenye link hapa na u download files zote zilizokuwepo ndani...
baada ya hapo fungua dashboard yako, click on Tools->Diagnostics, upate menu kama :
ukipata hiyo menu, Note hiyo "Application Port"; kama hapo, kwangu ni COM3.
sasa nenda kwenye yale mafile uliyodownload, fungua file "Ports.ini" kisha weka namba yako ya port kwenye "N_Port", kisha save.
Sasa funga kabisa dashboard yako:
Baada ya hapo, run file la "Huawei Flasher" kama admin:
Ikisha funguka, Click On "Read modem info"
ikikubali kusoma, Click on "Nv Items" and do a backup...
Ikimaliza kufanya backup, click on "Select Firmware"->"Extract from EXE", kisha chagua file "E303CUpdate_21.157.13.00.910.B757"...
Kisha Browse mpaka kwenye folder liitwalo "Out" ili ku extract hayo ma file...
Baada ya extraction nenda kwenye dropdown list ya "MODEM" na uchague "E173 v21.157.13.00.864":
Kisha click on "Flash modem"->"Normal mode", kwasababu ulishafanya backup mwanzo, just click "No".
Ita Disconnect modem then utakapo sikia mlio wa kuconnect device, click on Yes.
Subiria ifanye flashing mpaka itakapo maliza, please do not plug off your modem during the Process!...
Itakapo maliza, Dashboard yako itafunguka lakini ita display Information ambazo sizo:
So chomoa modem yako kisha chomeka tena, Rudi kwenye Huawei flasher, Click on Nv Items-> Restore and choose a "*.bck" file iliyo tengeneza, subiria imalize, kisha ita disconnect and reconnect, baada ya hapo, you`ll be done:
And Thats All Folks...
Ukikwama anywhere plz, Inbox me...