maana nataka nipromote page facebookUnaweza kujisajili na PayPal au mfumo mwingine wa kuaminika kwaajili ya malipo online ukafanya miamala kupitia huko.
Sishauri ufanye muamala direct kutoka kwenye mastercard yako unless otherwise huyo unaefanya nae muamala ni wakuaminika.