Jinsi ya kufanikiwa katika maisha

Jinsi ya kufanikiwa katika maisha

Oooh nafanya biashara zaidi ya miaka 15 naweza share experience yangu kwenye biashara

Sent using Cash Money Wings
Kama unafanya biashara ndio nimekueleza hapo kwenye thread kuwa kuna vitu inabidi uviweke mbele ila sio pesa kwanza futa maadui pili Mteja kwanza alafu tafuta kuwa mtu fulani anae julikana kwa biashara fulan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siri ya kufanikiwa inabaki kuwa siri ya mtu husika..
Mwisho wa siku yanayoitwa mafanikio huwa na makandokando mengi.. Hivyo hakuna anayeweza eleza bayana kila hatua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hellow wana JF leo naomba tushare vitu vichache ambavyo vitaniwezesha mimi na wewe pia hata ndugu zako jinsi ya kufanikiwa katika maisha nitaenda kukuonesha siri saba za mafanikio na pia kama wewe utakuwa na za kuongezea utaongezea kwa manufaa ya wote.

Nayo ni kama ifuatavyo:
1. Always keep learning
- It doesn't matter how smart you are or how knowledgeable you are in a certain area, you can always learn more.
- To assume you already know enough is to stagnate, and stagnation does not bring success.
2. Giving up is the greatest failure.
3. Look for opportunities.
4. Never make enemies.
5. Hire people with superior skills.
- Hire great people and they will make you company great.
6. Forget about money, First.
- If you go into business only focused on making yourself rich or famous chances are that at some point your personal goals and your business's goals will be at odds and if you pursue your own interest you destroy the business, ending up with nothing.
7. Lead with vision
- Vision is the ability to see the invisible
- To successful in life, you must be able to see what most other people can't.

Like famous billionaire. Jack ma say's, "If you have different Mindset, you will have different Outcomes ".

Kama utakuwa na cha kuongezea au hoja kuhusu haya unaweza kufunguka. Asante.


Sent using Jamii Forums mobile app
summarize tupate point moja mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hebu niwaambie jambo maana mwenyewe ni tajir ila sijuag utajir unamaana gan? kama utajir wa mali upo hv kama ukishindwa kupita shortcurt basi sahau kuwa unachokisema mtoa mada,
 
hebu niwaambie jambo maana mwenyewe ni tajir ila sijuag utajir unamaana gan? kama utajir wa mali upo hv kama ukishindwa kupita shortcurt basi sahau kuwa unachokisema mtoa mada,
 
Siri ya kufanikiwa inabaki kuwa siri ya mtu husika..
Mwisho wa siku yanayoitwa mafanikio huwa na makandokando mengi.. Hivyo hakuna anayeweza eleza bayana kila hatua.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mafanikio ni nini?

Ni mali? Ni furaha? Ni afya? Ni umaarufu?

Wengine wanataka umaarufu, wakiupata wanaona ni mzigo!

Kwanza kabisa, kufanikiwa kwa mtu mmoja si lazima kuwe kufanikiwa kwa mtu mwingine.

Kuna wakina Prince Harry wamezaliwa familia za kifalme, wana maisha ambayo wengi wanaona ni ya mafanikio makubwa.

Lakini wenyewe wanayakimbia.Prince Harry na mkewe anajitoa kwenye shughuli za familia ya kifalme.

Malkia wa Japan hivi karibuni ameeleza jinsi anavyokuwa na msongo wa mawazo sana.

Mfalme wa tahiland kamshusha hadhi mke wake.Ana matatizo katika masuala ya ndoa.

Ted Turner, bilionea aliyeanzisha CNN na mtu mwenye ardhi kubwa kuliko wote Marekani nafikiri mpaka sasa, alisema kwamba, mafanikio yake yote aliyoyapata maishani anasikitika kwamba maisha yake ya ndoa hayakuwa na mafanikio.

Hawa ni watu ambao kwa viwango vya watu wengi ni watu waliofanikiwa sana, lakini na wao wana changamoto zao.

Sasa tungeanza kwa kujiuliza labda.

Mafanikio ni nini?
 
Back
Top Bottom