Hah ah ahahaUkiona umemtumia mpenzi wako/mchumba wako/mchepuko wako/mke wako au hata rafiki wa kike wakati mwingine SMS ya kawaida tu kwaajili ya kumsalimia lakini yeye akakujibu moja kati ya majibu yafuatayo, tafadhali sana usiendelee kuchat nae maana kinachofuata hapo ni majanga tu.
KWA MFANO:
1. Ukimtumia sms ''Mambo mpenzi wangu?'' akikujibu ''mambo mabaya'', usimuulize kwanini mambo mabaya, ukimuuliza atakwambia kuwa ''sina hela dear''
2. Ukimtumia sms ''Maisha yanasemaje kipenzi changu'' akikujibu ''maisha magumu hubby wangu we acha tu'' usimuulize kwanini, ukimuuliza kwanini atakwambia ''nimefulia mwenzio kama nini sijui''
3. Ukimtumia sms ''Mbona kimya sana mchumba wangu, umenitupa kiasi hicho'' akikujibu ''sijakutupa wangu yaani mambo hata hayaendi'' usimuulize kwanini mambo hayaendi, ukimuuliza atakwambia kuwa ''yaani sina kitu mpenzi wangu, simu ilikuwa haina hata hela ya kubeep''
4. Au ukiona mwanamke anaanza kwa kukwambia nikwambie kitu? We mkatalie kiutani utani tu, mwambie usiniambie, hata akikomaa vipi akwambie mwambie sitaki uniambie huku unafanya kama utani lakini moyoni unakuwa upo serious.
Ni mara chache sana mwanamke akikwambia kuwa mambo mabaya, maisha magumu au mambo hayaendi huwa na matatizo mengine kama kuumwa, misiba.... n.k lakini THE REST ni wapigaji mizinga tu. Akikwambia maisha magumu mjibu ''pole wangu, mambo mengine vipi?''
Ukipewa majibu kama hayo, chagua moja, either usiendelee kuchat nae mpaka badae kidogo au mbadilishie maada ili kukwepa huo mzinga ambao unakuja mbele yako
Nimeishia kucheka tu,duh mabinti siku hizi wapo kama marehemu Matonya full omba omba mpaka unashangaa yaani maisha yao wanategemea mizinga tu.
Tatizo kubwa si tu kwamba wanapiga mizinga, isipokuwa, hawana nidhamu wala shukrani baada ya Kupata huo msaada. Hili ndio linakwaza zaidiNi kweli hawa kwa mizinga ni balaa, hawa ni majambaz wasiotumia silaa ww mwenyew utatoa tu
Utasikia lile zoba nimelichuna mpaka basi, mnaona sifa siyo?Tatizo kubwa si tu kwamba wanapiga mizinga, isipokuwa, hawana nidhamu wala shukrani baada ya Kupata huo msaada. Hili ndio linakwaza zaidi
Unavyokuwa muungwana zaidi, ndivyo unavyoonekana fala zaidi.
Duuh, umetisha saana mkuu, inaonekana mhanga wa hiyo mizinga, maana trick zao zote ushazijuaaa.Ukiona umemtumia mpenzi wako/mchumba wako/mchepuko wako/mke wako au hata rafiki wa kike wakati mwingine SMS ya kawaida tu kwaajili ya kumsalimia lakini yeye akakujibu moja kati ya majibu yafuatayo, tafadhali sana usiendelee kuchat nae maana kinachofuata hapo ni majanga tu.
KWA MFANO:
1. Ukimtumia sms ''Mambo mpenzi wangu?'' akikujibu ''mambo mabaya'', usimuulize kwanini mambo mabaya, ukimuuliza atakwambia kuwa ''sina hela dear''
2. Ukimtumia sms ''Maisha yanasemaje kipenzi changu'' akikujibu ''maisha magumu hubby wangu we acha tu'' usimuulize kwanini, ukimuuliza kwanini atakwambia ''nimefulia mwenzio kama nini sijui''
3. Ukimtumia sms ''Mbona kimya sana mchumba wangu, umenitupa kiasi hicho'' akikujibu ''sijakutupa wangu yaani mambo hata hayaendi'' usimuulize kwanini mambo hayaendi, ukimuuliza atakwambia kuwa ''yaani sina kitu mpenzi wangu, simu ilikuwa haina hata hela ya kubeep''
4. Au ukiona mwanamke anaanza kwa kukwambia nikwambie kitu? We mkatalie kiutani utani tu, mwambie usiniambie, hata akikomaa vipi akwambie mwambie sitaki uniambie huku unafanya kama utani lakini moyoni unakuwa upo serious.
Ni mara chache sana mwanamke akikwambia kuwa mambo mabaya, maisha magumu au mambo hayaendi huwa na matatizo mengine kama kuumwa, misiba.... n.k lakini THE REST ni wapigaji mizinga tu. Akikwambia maisha magumu mjibu ''pole wangu, mambo mengine vipi?''
Ukipewa majibu kama hayo, chagua moja, either usiendelee kuchat nae mpaka badae kidogo au mbadilishie maada ili kukwepa huo mzinga ambao unakuja mbele yako
HaaaaaaaaNi kweli hawa kwa mizinga ni balaa, hawa ni majambaz wasiotumia silaa ww mwenyew utatoa tu
Mtu wa makamo na fundi wa mafundi kaenda mbele za haki muda sana yuko uko na kama kun kuomba atakua anaongoza jahazi baba la baba.Ah hivo Matonya alishakuwa marehemu ????!
Trick za nini. Nitaomba tu ikibidi..ukitaka utanipa..usipotaka usinipe. Ukiniambia sina ni poa pia maisha yanasonga. Wapo waelewa wengi tu wanatupa kwa moyo mmoja na hawana malalamiko wanatambua wajibu wao. Si lazima umpe mkuu. Baki hivyo hivyo na msimamo wako.tumeshajua trick zenu..hatuombeki sasa hv