Jinsi ya kudownload game ya FTS17 kupitia sim ya Android

Jinsi ya kudownload game ya FTS17 kupitia sim ya Android

Erick Martie

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2015
Posts
341
Reaction score
371
Wadau kwema, mimi natumia sim ya mfumo wa android Lollipop anayeweza kujua jinsi ya kudownload game ya mpira wa miguu ya sim ya FTS17, ambayo ni update ya game FTS15, nimejaribu kupitia Playstore haipo game, so kama una njia yeyote itakayoniwezesha kudownload game hiyo hata kama ni mfumo wa apk, naomba unisaidia au link yake pa kudownload waweza nambia
 
Back
Top Bottom