Adalbelt William
Member
- Jan 21, 2014
- 8
- 1
ndugu zangu naomba m2 anaewez kuunganisha simu ili mtu akimpigia rafiki yangu nami nimsikie kupitia cmu yangu naomba anisaidie coz kuna jamaa nataka niwe nazipata cmu zinazoingia kwake via my phone msaada jaman!

nisaidie kaka mario!
nunua cm inaenda kwa brand name ZHING PHON. ingia settings, call setting, share conversations,ingiza namba yake, ENTER
hapo sasa endelea kuumia na mawivu hadi upate heart attack.