Watu bwana!!!@ bei yake tafadhali
Nimechoka mwenyewe. Kwamba hakiuzwi kitagawiwa bure? Sasa na wapenda michepuko walivyo wengi watawaweza kweli. Maana nina imani wapenda michepuko wakianzisha chama chao watakuwa wengi sana kuliko hawa wa vya siasa.hahahahaha,
mpwa na wewe uje ujionee Chakaza
bas oa mchepuko acha njia kuu