Jinsi ya kuchaji maji

Mkuu Mshana, asante kwa hii kitu. Haya ni mambo ya ying na yang, na chakra balancing. Ili isionekane huu ni ulozi, tueleze kidogo
  1. Why kwenye bakuli na sio kwenye sufuria, mtungi, ndoo, chupa , kikombe, glasi etc, why bakuli?
  2. Why uweke chumvi kidogo wakati natural water always ina chumvi kidogo?.
  3. Why kuweka jiwe angavu, what has that jiwe have to do na maji?, why quartz na sio any other stones?
  4. Why kuweka kiambazani?, na sio sebuleni, jikoni, mezani?.
  5. What has mwezi got to do with maji?
  6. Why mwezi mpevu, sio mwezi mchanga, sio mwezi mwandamo, sio full moon?
  7. Why mwanga wa mwezi, na sio mwanga wa jua, nyota, mwanga wa taa, mwanga wa tochi?
  8. Why uweke usiku, why sio asubuhi, sio mchana sio jioni?
  9. Why uyatoe alifajiri, kwa nini usiyaache hadi mchana, hadi jioni hadi usiku?
Paskali
 
Asante mkuu! Mungu akubariki sana! I wish nipone maana nimechoka hii hali hasa nikikumbuka kipindi nikiwa sijapata hili tatizo nafadhaika sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Chukua Yale majani yatoayo miba midogo midogo huku kwetu tunaita "choma nguo" ukipita porini hushika sana kwenye Nguo. Twanga yalainike halafu changanya na maji kijiko kimoja. Hayo maji yenye supu ya majani hayo chukua weka matone kadhaa sikio linalokusumbua. Utapona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante Mungu akubariki sana ningeomba kama utakuwa na picha yake nitumie ila kama huna usijali nitajiyahidi kuyaulizia.asante sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 

NAAMINI NIMEJIBU KWA KIFUPI LAKINI KWA MAKINI

Jr


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshana jr nimeipenda hii na wala sio ushirikina wala ulozi.Ila hapa nazani kuna nguvu flani ya kiumungu.Mawe ya quarts sio kitu kigeni sana ni yale mawe meupe kabisa kama kiyoo mikoani yapo mengi tu labda kwa Dar nitajaribu hii kitu ahsante Mshana kwa mafundisho yako mengi
 


Jr
 
aina ya changarawe au

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…