[emoji115] [emoji120] [emoji144] [emoji120]Huyu ndn mshana jr
Anaejua mengi lakini anajua namna ya kuongea kwa uchache.
Anaezua hoja na kukuachia tafakuri.
Unasitahili kuwa JF
Linafanana na kioo linapatikana chini ya miamba ambapo hapo mwanzo kulikuwa na mapito ya maji kisha yakatuama na 'kuganda'Ufafanuzi kidogo juu ya jiwe angavu/jiwe kioo ili tuweze kuufanyia
Njoo jiokotee kwangu nnazo za kumwagaQuartz inapatikana wapi?
Kuna huyu member mwenzetu mrangi anayo I hope atafanya mambo for free ikimpendeza kwakuwa ana shehena
Naomba unitag na mimi mkuuLinafanana na kioo linapatikana chini ya miamba ambapo hapo mwanzo kulikuwa na mapito ya maji kisha yakatuama na 'kuganda'
Quartz ina nguvu kwenye ulimwengu wa roho... Mao Tse Tung rais mkomunist wa China alizikwa kwenye kaburi lililozungushiwa quartz! Yuko hivyo hivyo mpaka Leo... Kwa Wachina quartz ni alama ya nguvu na mamlaka View attachment 583193kuna mada yake ngoja nikutag
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawakaribisha waje wachkueKuna huyu member mwenzetu mrangi anayo I hope atafanya mambo for free ikimpendeza kwakuwa ana shehena
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana kaka na barikiwa zaidiNawakaribisha waje wachkue
Ova
Unaniachiaga maswali mengi sana we mkuu! Kwahiyo hata kama tayari ninatatizo naweza kuyatumia? Nimepata tatizo la kuunguruma sikioWapendwa wakati tukisubiria jukwaa letu lianzishwe (jukwaa la mambo ya kiroho ama jukwaa la mambo ya giza) tuendelee mdogo mdogo huku HM.
Kwanza lazima ifahamike wazi kwamba maji ndio yanachukua asilimia 75 ya mwili wa mwanadamu na asilimia hiyo hiyo kwenye dunia katika ujumla wake.
Ni katika hayo maji kuna aina zake tofauti
1. maji baridi na maji chumvi
2. maji mfu na maji hai
Maji baridi ni yale ya kwenye mito mabwawa na baadhi ya maziwa wakati yale majimoto (majichumvi) ni yale ya baharini
Maji mfu ni yale maji ya viwandani yaliyochanganywa na kemikali mbalimbali, haya maji tunayoita special, maji ya chupa
Maji hai ni maji asili ambayo hayajapitia mkondo wa kuyasafisha kwa kutumia kemikali zozote. Maji baridi na maji chumvi pia ni maji hai
Kwenye mambo haya ya kiroho wengine huita ya gizani, maji yana matumizi yake pia. Hasa kwenye kutakasa, kunuia, kubariki, kubatiza nakadhalika. Na ili upate maji husika yenye nguvu ya kutenda katika hayo inabidi ufanye yafuatayo;
1. weka maji baridi kwenye bakuli
2. weka kiasi kidogo cha chumvi
3. weka kipande cha jiwe angavu/jiwe kioo(quartz stone) kwenye bakuli husika
4. weka bakuli lako kwenye kiambaza ambapo mwanga wa mwezi mpevu utafika moja kwa moja na kwa urahisi..
5. Alfajiri toa bakuli lako weka maji kwenye chupa safi tayari kwa matumizi husika...!!!
Maji haya hayahusiani na ulozi wala ushirikina yoyote anaweza kuyatumia kama kinga na tiba ya nguvu hasi na roho hasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia tu ikishindikana tafuta tiba mbadala hospitalUnaniachiaga maswali mengi sana we mkuu! Kwahiyo hata kama tayari ninatatizo naweza kuyatumia? Nimepata tatizo la kuunguruma sikio
Sent using Jamii Forums mobile app
Hospital wameshindwa mkuu zaid wameniambia nivae hearing aid! But akatokea docta tena na kusema nitafte tiba mbada kwani sikio halionyeshi kama kuna tatizo hivyo hiyo aid hearing itanihatibia sikio!
OK jaribuHospital wameshindwa mkuu zaid wameniambia nivae hearing aid! But akatokea docta tena na kusema nitafte tiba mbada kwani sikio halionyeshi kama kuna tatizo hivyo hiyo aid hearing itanihatibia sikio!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hospital wameshindwa mkuu zaid wameniambia nivae hearing aid! But akatokea docta tena na kusema nitafte tiba mbada kwani sikio halionyeshi kama kuna tatizo hivyo hiyo aid hearing itanihatibia sikio!