Samedi Amba
JF-Expert Member
- Nov 13, 2018
- 227
- 178
Habari wanajamvi,
Kichwa tajwa hapo juu. Kwa kifupi:
Kwa wenye uzoefu, nifanyaje? Hasa wale ambao wamewahi kufanya biashara ya nafaka mkoa hadi mkoa.
Kichwa tajwa hapo juu. Kwa kifupi:
- Niliingia ubia na jamaa
- nikatoa hela zangu
- akamwomba jamaa mwingine aagize mzigo
- mzigo (wa nafaka) ukaja umechanganya rangi. Badala ya tani moja ikaja kilo 490, na kati ya hayo 200 tu ndo ilikuwa nzima. hata hivyo, yalikuwa size ndogo sana kwa wastani ya sokoni.
Kwa wenye uzoefu, nifanyaje? Hasa wale ambao wamewahi kufanya biashara ya nafaka mkoa hadi mkoa.