Jinsi ya kubadili username

Jinsi ya kubadili username

Rubeboy

Member
Joined
Nov 3, 2014
Posts
15
Reaction score
0
Habar wanaJF,

Naomba msaada wa kunijuza jinsi ya kubadili username hapa JF kwasababu hii ninayotumia sasa inatatiza wengi endapo nikipost uzi..mimi ni msichana ila username ni ya kiume msaada kwa hilo wakuu ili niweze kubadilisha asanten
 
Habar wanaJF.naomba msaada wa kunijuza jinsi ya kubadili username hapa JF kwasababu hii ninayotumia sasa inatatiza wengi endapo nikipost uzi..mimi ni msichana ila username ni ya kiume msaada kwa hilo wakuu ili niweze kubadilisha asanten

Hebu itaje kwanza hiyo mpya isije nayo kuwa majanga kama hii ya sasa,
 
Back
Top Bottom