JINSI YA KUBADILI MUONEKANO WA CMD

Mkali Tricks

JF-Expert Member
Aug 18, 2017
488
310
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH

JINSI YA KUBADILI MUONEKANO WA CMD
Je, Upendezwi Na Muonekano Uliozoeleka wa CMD? Kama Jibu Ni Ndio, Basi Uzi Huu Una kuhusu Zaidi.

IKO HIVIIIIIIIII
1. Ingia Katika CMD Kwa Njia Yoyote Ile. Njia Mojawapo Ni Kubofya WIN KEY (button Yenye Logo Ya Window) Kisha Andika CMD

2. Bofya ENTER
3. Andika COLOR Z, Kisha bofya ENTER

KUNA NAMBA (0-9) NA HERUFI (A-F) ZITATOKEA), Kila Namba/Herufi Inawakiliaha RANGI Fulani. Kisha Utaambiwa PRESS ANY KEY TO CONTINUE, Itakupasa Ubofye BUTTON Yoyote Ili Kuendelea.
Baada Ya Kubofya

4.Andika COLOR A Kisha bofya ENTER, Rangi Ya Maandishi Itabadilika Kutoka Nyeupe Kwenda LIGHT GREEN.

NB; Kwenye STEP 4, Utaandika Neno COLOR Ruka Nafasi Kisha Utaendele Kwa Kuandika NAMBA/HERUFI Kulingana Na Rangi Uitakayo.

UKITAKA KUBADILI RANGI YA MAANDISHI & RANGI YA BACKGROUND Kwa Wakati Mmoja, Cheki Video Hapo Chini

Umesomeka mkuu
 
ningependa kujua mambo haya kutoka Kwenye cmd

kuformat SD card
kutafuta password za Wi-Fi kwa kutumia cmd
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom