Luhamba II
Senior Member
- Mar 22, 2025
- 126
- 186
Kuna wakati unafika unataka kubadili Jina la Biashara, kwa sababu zozote zile.
Hizi ni hatua za kufuata kama unataka kubadili Jina la Biashara
1. Log in kwenye account yako ya Brela ORS
Ile uliyosajilia jina la biashara unalotaka kubadili.
2. Chagua new services
3. Chagua change of particulars
Ambayo hapa itakua ni change of business name
4. Fanya name search kujua kama Jina jipya Linapatikana Kwa Ajili ya Usajili.
5. Upload necessary form fomu namba 111 ya Brela forms
6. Lipia government Fees
Kwa business name change of particulars fee ni 20,000
7. Download cheti kipya after 3 business days.
Hey, unapobadili jina la biashara Brela kumbuka mabadiliko haya yataleta effect kwenye TIN yako na Leseni kwahiyo itakubidi pia ku update TIN yako na Leseni zote.
I hope this helps
Kama unahitaji consultation zaidi kuhusu usajili wa jina la biashara au kubadili Jina la Biashara unaweza kunitumia ujumbe WhatsApp kupitia namba hizi
0678131068
Your Favorite Lawyer.