Jinsi ya kubadili course DIT

Jinsi ya kubadili course DIT

Zinnob5

Member
Joined
Aug 16, 2021
Posts
30
Reaction score
2
Samahani ndugu zangu naomba msaada jinsi ninavyoweza kubadili course niliochaguliwa ya civil engineering kuwa computer Engineering hapo chuoni Dit nitakapo
 
Kwani wameshaanza kudahili21/22?,na kam kweli,nitajie baadh ya vyuo nami nicheki
 
Nd

Ndio tiyar wameshaanza mwanangu sema vyuo na course kubwa nafasi zimeisha mwanangu yani apa nimechanganyikiwa kinoma hata sielewi mwanangu
 
Samahani ndugu zangu naomba msaada jinsi ninavyoweza kubadili course niliochaguliwa ya civil engineering kuwa computer Engineering hapo chuoni Dit nitakapo
Baada ya kuwa admitted chuoni,nadhani huwa kuna muda wa kuhama course...!Wanao jua zaidi watakushauri katika hili...!
 
Samahani ndugu zangu naomba msaada jinsi ninavyoweza kubadili course niliochaguliwa ya civil engineering kuwa computer Engineering hapo chuoni Dit nitakapo
Ukisha fika chuo utatafta mtu wa computer anaetaka kwenda civil mnabadilishana ila huo uamz utaujutiag badae kwa ninavo ijua dit
 
Kwa nin bro eeeeeh naomba unielekeze vizur please
 
Namna ya kuhama ni kumpata anaetaka course yako mbadilishane, tofauti na hapo ni ngumu kubadili,
Ila kama unaenda DIT asee ujipange ukapige msuli kweli kweli, kama ulishawai kusikia msemo wa chuo bata si kwa DIT.
Safari njema, baada ya kusoma na kufanikiwa kumaliza DIT nadhan utakua na cha kuwasimulia madogo wanaotaka kujoin hapo.
Kwa mimi nikae kimya,
 
Asante sana bro ila mim niko vizur sanar kwa misuli watu tulio soma nao wananijua yapo uwezo wangu sio mkubwa kivile ila ninaforce kinoma yanisipoa
 
Kama upo vizuri kwa misuli DIT patakufaa, na ukienda ukaze kuanzia kuanzia mwanzo wa safari yako,
All the best wishes.
 
Namna ya kuhama ni kumpata anaetaka course yako mbadilishane, tofauti na hapo ni ngumu kubadili,
Ila kama unaenda DIT asee ujipange ukapige msuli kweli kweli, kama ulishawai kusikia msemo wa chuo bata si kwa DIT.
Safari njema, baada ya kusoma na kufanikiwa kumaliza DIT nadhan utakua na cha kuwasimulia madogo wanaotaka kujoin hapo.
Kwa mimi nikae kimya,
Cha kuelezea atakipata semester ya kwanza tu
 
Back
Top Bottom