Jinsi ya kuanza biashara ya promotion

kimwelage

Member
Oct 13, 2012
55
20
Nimeanzisha kampuni ya promotion lkn nilitatajia nitapata watu wa kusaidia kupata kazo lkn mpk leo sijapata tender.pleasr help me to get connections
 
Nimeanzisha kampuni ya promotion lkn nilitatajia nitapata watu wa kusaidia kupata kazo lkn mpk leo sijapata tender.pleasr help me to get connections

Kabla ya kuestablish kampuni kwa vyovyote utakuwa uliona fursa, wateja wako wakoo, uniqueness ya kampuni yako kwa kampuni nyingine zinazotoa huduma/product kama zako basi anzia humo boss!
 
Back
Top Bottom