Jinsi ya kuangalia tv programme kwenye simu ya adroid

Jinsi ya kuangalia tv programme kwenye simu ya adroid

Rahma Nyusi

Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
73
Reaction score
9
Jamani naombeni msaada wenu,nataka niwe naangalia tv live kama TBC1,clouds tv na nyinginezo kwakutumia simu yangu ya android.
Natumia Tecno Boom J7
Msaada wenu tafadhali
 
Inamaana nikienda tu kwenye play store nikianndika sim tv then ni install halafu basi? au kuna vinginevyo?
 
Jamani naombeni msaada wenu,nataka niwe naangalia tv live kama TBC1,clouds tv na nyinginezo kwakutumia simu yangu ya android.
Natumia Tecno Boom J7
Msaada wenu tafadhali

Rahma nimependa nyusi zako, bado unatumia ile namba ya tigo nikucheck?
 
Watu wengine hawako serious,wewe kama unaona jambo hulijui bora upite tu kuliko kuongea mambo yasiyo husu mada husika
 
Watu wengine hawako serious,wewe kama unaona jambo hulijui bora upite tu kuliko kuongea mambo yasiyo husu mada husika

jarbu kutembelea nyuz zilizo pita hii maada ilishazungumziwa na kutolewa maelezo mazur hope utafanikiwa...!
 
Download mobdro from mobdro.com
Channels kibao at a zile za DStv
 
Attachments

  • 1437678662583.jpg
    1437678662583.jpg
    44.3 KB · Views: 604
  • 1437678677810.jpg
    1437678677810.jpg
    31.4 KB · Views: 577
Dada yangu hebu jaribu kusoma vizuri hii mada utapata mwanga.
Ila chanel za kibongo sidhani.
Bofya Hapa
 
TV Za Bongo hakuna. Nimetafuta sikuzipata.

Halafu nimeona hii kitu inakula bando taratibu kulinganisha na Kodi!
Mkuu Mnafu nawewe umeona? KODI inakula MB balaa...Ingawa nafikiri KODI inafursa nyingi na muonekano safi zaidi kama HD n.k
waje tu wataalamu watufundishe jinsi ya kupata Local Channells
 
Back
Top Bottom