Ngwanakilala
JF-Expert Member
- Jun 25, 2011
- 774
- 1,464
Wakuu nimeona watu wengi wanasimamishwa na matraffic na kuambiwa gari yako inadaiwa lipa sasa kama huna hela acha gari katafute hela. Gari haiondoki hapa hadi ulipe.
Kuna njia ya kucheki kama gari yako inadaiwa au kama leseni yako inadaiwa ilikuondoa these stupid traffic polisi suprises.
Kwa wanaotumia Tigo fuata steps zifuatazo.
*152*75#
chagua kuweka namba ya gari au namba ya leseni
weka hiyo namba
utaambiwa kama unadaiwa au haudaiwi
Muhimu
Ukisimamishwa na traffic usikimbia hata siku moja
simama ongea nae vizuri, muite majina yakumpa kichwa kama boss au afande
akileta ubishi mpe 5,000 akale
ondoka kwa amani
kukimbia askari ni kosa kubwa sana na hata wakikupiga risasi its justfiable
no need kuwakimbia hawa mafala matraffic. simama ongea nao