Jinsi ya kuachana(kumbwaga) mwanamke kwa amani

Kumwacha mwanamke ambaye anakupenda ni kazi sana. Imagine anakwambia we fanya mambo yako ila usiniache mimi nipo.


Sizani kama ni sababu anakupenda, huenda inachangiwa na sababu nyingine,

Wewe mwanamke upigwe matukio kama yote lakini bado usitie akili kuwa akufukuzae hakwambii toka?!

Sababu zaweza kuwa;

Kukata tama,
Kukosa pa kwenda,
Kuona hataweza kwenda kupata wa kuanzisha naye uhusiano.
Kukosa kujikubali na kujiamini.
Zana potofu
Ujinga

N.k
 
Hii ni maada ususani kwa kwa wanaume hasa vijana ambao wapo kwenye harakati za kusaka wake au Wanataka kuachana na hao wanawake.


Wewe Kama mwanaume unatakiwa uishi kimalengo na kimikakati huwezi ukawa mwanaume halafu unaishi Kama funza yaani upo upo tu.

Wewe Kama mwanaume unatakiwa ujipiganie Sana kuhakikisha muda wote upo vizuri Hadi siku yako kwenda kaburini katika haya maisha hakikisha unajipambania haswa kuliko unavyo zani maana nguvu ulizo nazo leo sio utakazo kuwa nazo kesho maana kadri siku zinavyo enda ndivyo uzee unavyo kujia na Kama uzee unakuja Basi maradhi ya uzeeni nayo yanakuja na huko uzeeni Kama hukuwekeza ujanani hata hao watoto unao wahangaikia Sasa hawata kuwa na cha kufanya Hadi mama yao awaambie wafanye.....so you will need to fight alone bila kumsumbua mtu. Sasa Kama ujanani na nguvu zako unazitumia kuwafurahisha wauza mbunya ndugu yangu imekula kwako , au unazitumia nguvu zako kuwa spoil wanawake na kushinda unajiimbisha kuwa mwanamke inatakiwa apetiwe huku ukijisahau kuwa na wewe unahitaji akiba ya kesho yako mzee imekula kwako.

Haya turudi kwenye mada, pale unapo gundua kuwa huyu mwanamke Hana Tena mchango kwenye maisha yangu alicho bakisha ni kula vichenji vyangu na kunipa uchi wake ....yaani Hana potential yoyote zaidi ya mbunye yake hii ndio njia sahihi itakayo kufanya utengane na huyu mtu bila kuweka ugomvi wowote ule na kujihakikishia siku ukimuhitaji Tena utampata bila tatizo.

Basi fanya hivii.......unajua asilimia kubwa ya wanawake Karne hii hawatupendi jinsi tulivyo yaani Kuna kitu wanatupendea Kama ilivyo misemo yao kila siku kama hapendwi mtu inapendwa pochi, mwanaume asie na pesa wa kazi gani...? Na misemo lukuki.......ni hivi Kama unajua tu huyu mwanamke kanipendea hela na pesa ninayo kwa Nini asiwe mtumwa wangu azitumikie hizi hela..! Badala yake wewe mwanaume na pesa zako ndio unageuka kuwa mtumwa na kujifariji na misemo ya kishamba kuwa wanaume tumeumbiwa mateso ....boya kabisa wewe


Mwanaume ukisha kuwa na pesa unahitaji uishi Kama mfalme yaani utengeneze kingdom yako na wewe ndio uwe top katika hiyo kingdom....

Ili mwanamke uweze kumuacha kwa amani Anza kupunguza vile vitu vilivyo mfanya akupende Kama ulikua mtanashati Basi Anza kuwa rafu kimtindo , Kama ulikua unajali Sana Anza kupunguza kujali...yaani punguza .....punguza Hadi akukimbie yeye ...mwisho wa siku unatimiza malengo yako.

Kumbuka hatuachi mwanamke kwa sababu za kifala fala.....tunaacha ili kujijenga wenyewe na kupunguza gharama au drama zisizo na msingi ...yaaani Yale matakataka yao yanayo tupotezea muda wetu katika harakati zetu.


NB
Sisemi haya labda Nina hasira na wanawake hapana naseme hivi baada ya kuona vijana wadogo wanajibidiisha kwenye Mambo ya kifala ...yaani muda wao mwingi wanatumia kwa ajiri ya kutumikia wanawake na wamesahau kuwa Kuna baadae yao inawasubiri
Umenisaidia sana kwanza kuwa na mahusiano na mwanamke maskini mpaka wa kufikiri ni taabu tupu.
 
Shida yote ya nini ,bora umwambie tu moja kwa moja tuachane ili kila mtu aendelee kutimiza kusudi lake maishani .kuumia au kupo palepale ,kupigana matukio na vihoja vingine haipendezi
 
Shida yote ya nini ,bora umwambie tu moja kwa moja tuachane ili kila mtu aendelee kutimiza kusudi lake maishani .kuumia au kupo palepale ,kupigana matukio na vihoja vingine haipendezi
Umejua dhumuni lkn la kukufanya wewe ndio uniache......?
 
Umejua dhumuni lkn la kukufanya wewe ndio uniache......?
"Kumbuka hatuachi mwanamke kwa sababu za kifala fala.....tunaacha ili kujijenga wenyewe na kupunguza gharama au drama zisizo na msingi ...yaaani Yale matakataka yao yanayo tupotezea muda wetu katika harakati zetu"

Don dig around the bush... It's either black or white
 
ITS ABOUT ME, MYSELF AND I ( AS A MAN).
Wengine ( wanawake) nikuwanafikia na kuwa——use tuu.

As a man, to use women for your own and only Gains, Ends is a MUST do Thing!!
 
"Kumbuka hatuachi mwanamke kwa sababu za kifala fala.....tunaacha ili kujijenga wenyewe na kupunguza gharama au drama zisizo na msingi ...yaaani Yale matakataka yao yanayo tupotezea muda wetu katika harakati zetu"

Don dig around the bush... It's either black or white
Yes pamoja na madrama yenu na ma ujinga .....dear Kuna siku tunamic mbunye zenu lazima tuache mazingira mazuri ya kuja kuzila Tena bila usumbufu now you get me
 
Kubabakeeee bonge la Point...

Nakubali sanaaaa
Tena mi wanawake wa sikuhizi hata ukiwa na pesa hawairrdhiki mbupu mojaaa...

Afu Jembe anapiga kazi kutwa nzima pesa yote anapeleka kwa mwanamke na mwanamke ndo anapanga Budget Amini.

Na njemba anapewa kiasi kiduchu akihoji anaulizwa unataka pesa Nyingi ya kazi gani...???

Hapo mwamba anapigwa mkwanja Daily kisa jinamke lina mavi makubwaa kama Mlima dah...

Afu akija kustuka asepe inakuwa tena vita kuu ya Dunia.
Maana mwanamke anaanza kumzulia mwamba kila sehem hata mpaka Police asee.

Kikubwa wanaume tukumbuke kesho yetu

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom