Jinsi ya ku root simu yako ya Android

Techno ni rahisi ku root ila hz sumsung mfano zinazo run android 4.4.4 kitkat haaaa hata uipige kibao haijiroot
 
Mimi simu yangu haishiki mtandao sumsung galax s6 nifanyeje? Ili ishike natumia mtandao wa voda haushiki na zaman nilikuwa natumiatu kwabkuongea data n.k, nisaidie nifanyeje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
5b504281fcf573ee782ce01ac3f17559.jpg
hapo ndiyo imeshawaka.... Haiwaki mpaka mwisho.... Nifanyeje wadau
 
Niliwai kutembelea makala moja about rooting..bahati mbaya makala ilijaa maneno magumu ya kiingereza. Na kama unavyojua English hata Magufuli hawez...nilishindwa kuelewa.
Sasa leoo nimeinyaka. Ntafanya iko kitu rooting!! Mkiona sionekani humu ujue imezima.
 
Afadhari nimepitia Uzi huu, nilisha wahi kuroot simu yangu kwa kutumia Kingo Root, ilichukua kama dakika kumi hivi, ikaniandika, Your phone rooted sucsefull.
Baada ya hapo kwenye menyu ya simu ikaja app ikawa imejiandika "Super user" sasa nikawa naingia alafu sielewi nini, nikiingia tuhh inaniandikia boost your phone, mara clean virus,na tu vitu tudogo tudogo, nikawa najiona mjinga kwa kushindwa kuroot sim, kwa hasira nikafuta Kingo Root, na baada ya mda nikafuta Super user, ila Mimi huwa mpenzi sana kuingia file linalo itwa Task maneger > Engine Mode > Pale utabonyeza Go to App, sasa hapo itakupeleka moja kwa moja kwenye software, deburg, na n.k, kuna sehemu nikaona sehemu, check you are phone if rooted, nikabonyeza ikaniandikia "your phone rooted"
Nikarudi play store kudownload app inaitwa "Hi Font" nikaipakua vizuri, nilivyotaka kuanza kuitumia ikawa inaniandikia not rooted, please root your phone first, hapo ndo nikachoka na kuchukia kabisa,
Lakini ndo nikaamua kupitia humu Jf, nikawa nimeunasa Uzi, nikausoma vizuri ndo nakarudi kwenye setting kama alivyoelenza mtalaamu hapo juu, nikabonyeza Mara saba, nikaambiwa "your phone has been rooted already" Lakini ikawa shuguri ile Devoloper option haiji kwenye setting, nikajiongeza nikabonyeza tena Mara saba kwenye pale Android version ikanipeleka moja kwa moja kwenye screen ya nje kabisa ikaniletea rangi kama tano hivi, kuna nyeusi, blue bahari na zingine kama zambalau vile siunajua tena kwa wanaume kuzitambua rangi ni shughuri kidogo, bila uelewa wowote nikachagua Blue bahari, ikaniandikia "Lillipopo" nika bonyeza bila kujua kinachoendelea, ikanipeleka tena moja kwa moja kwenye setting, nikaona kitu cha "developer option"
Mpaka naona kama nishafanikiwa.


Kama unaona shida kuroot simu na unataka uwe na developer option download kitu kinaitwa "Fake GPS" Mimi nilikuwa natumia hyo baada kuwa nilikuwa sujui namya ya kuroot simu.

Usikurupuke kuroot simu, mtalaam wetu ametoa madini hapo, hata nilikwama njiani ila nilivyo pitia huu uzi, mission completed.

Asante sana mtoa mada! Endelea kutupa ujuzi mwingine nasi tukiwa tunajikongoja nyuma yako.
 
Simu ya Android haiwezi kuflashiwa bila kuwa rooted!
Napinga kuhusu hiyo sentesi hapo juu. simu yoyote inaweza kuflashiwa kama ipo rooted ama haipo rooted.
 
Msaada Me nina Nokia lumia 630 tatizo lake airplan (flight mod) imegoma kuwa off/ kutoka na kila nikijaribu kukatoa simu inachemka.
 
Back
Top Bottom