Jinsi ya ku root simu yako ya Android

Yani kuna watu wamefanikiwa ku root simu zao,

Lakini sie wengine tumeshindwa,

Mtusaidie jaman

Hizi kingroot sijui zko ngapi?
 
Mnao root simu zenu, inabidi ujue lengo lako la ku root simu yako ni lipi. Na pia kuwa makini usifute system apps ambayo hujui inafanya kazi gani. Kuna jamaa ali root simu kisha aka uninstall system app inayoitwa "com.android.phone", akaiua kabisa simu upande wa base band. Ikawa hakuna kabisa mtandao simu ikawa kama kopo huwezi kupiga simu, kupokea simu, wala mobile data hakuna tena. Na pia ku root simu unapoteza warranty ya simu yako. Ila ukifanikiwa ku root simu na ukajua lengo lako la kuroot basi utaweza kuifanya simu yako iwe na muonekano wowote uupendao. Na pia utaweza kuingiza apps za namna tofauti tofauti za kufanya kazi kulingana na mahitaji yako
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom