Jinsi ya ku root HTC phone

Jinsi ya ku root HTC phone

sixty nine69

Member
Joined
Jul 30, 2014
Posts
66
Reaction score
14
Wadau HTC yangu inatumia EDGE kwenye upande wa network sasa kunajamaa ameniambia kuwa naweza kuibadilisha ikatumia 3G kwa kui root
Msaada wenu unahitajika kakita kufanya hii process kama inawezekana
 
HTC T327T

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

hizo simu zinazoishiwa na t ni za china network yao ya td cdma. ila chip ya simu yako inakubali 3g hivyo upo uwezo wa kuirudisha.

kwanza nenda setting then mobile network then network mode eka iwe wcdma. kama haipo nsomee ulichokikuta.

ikikataa itabidi iekwe firmware ya nchi yenye 3g, hili itabidi uende kwa fundi

au huyo jamaa aliokwambia uroot anaweza kuwa sahihi kama ana tweak ya kufanya kwenye os
 
Mkuu unaweza kunipa namba yako ili tuelekezane vizuriii

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom