Extrovert24
Senior Member
- Jun 23, 2022
- 152
- 221
NdiyoFacebook?
Jinsi ya kulipia ndo nashindwaNi kulipia tu nafikiria ni Dola 5
Tumia master card uwe umeiactivate kufanya online purchase yaan uwe na zip code.Jinsi ya kulipia ndo nashindwa
Nilijaribu jana kutumia Airtel money mastercard,nikafikia hatua ya kuweka code ambapo niliambiwa hizo code niziangalie kwenye Online banking for Mastercard ya account yangu, hapo ndipo waliponichanganya na kuendelea nikashindwa kwasababu nilishindwa kuzipata hizo codeTumia master card uwe umeiactivate kufanya online purchase yaan uwe na zip code.
Sijajua kama mobile money inalipia
Facebook?
Subiria wanakuja mkuu. Binafsi nilishaachana na huo mtandao miaka mingi
Kwani namna ya kufungua account ya online banking ni aje?Code ndo hio zip code inauzwa elf80🤣
Kama ni content creator yaani kama msanii wa maigizo, vichekesho au kuimba. Boost a post ila kama ni mfanyabiashara fanya Facebook Ads ManagementHabari wakuu 🖐️,
Kama ilivyo kwenye title hapo juu, naomba kwa mwenye kufahamu namna ya kuboost tangazo Facebook anipe maelekezo jinsi ya kufanya.
Nawasilisha.
Mfanya biashara, Vipi waweza nipa maelekezo namna ya kufanya hiyo Facebook Ads Management ?Kama ni content creator yaani kama msanii wa maigizo, vichekesho au kuimba. Boost a post ila kama ni mfanyabiashara fanya Facebook Ads Management
Sawa Mkuu,Shukran Sana. Ngoja nifanye hivo mara mojaAnyway, hakuna ugumu wowote na hakuna ulazima wa dola 5 kama alivyosema mkuu Santos06 hapo juu.
Ukiboost tangazo directly kutokana na kiunganishi kilichopo kwenye post yako pale palipoandikwa boost post, matarajio sio mazuri sana na gharama yake ni kubwa.Ushauri wangu download ads manager kutoka playstore kisha utumie kwa kazi hiyo hapa wanakata hela yao kwa clicks hii ni somehow accurate na matokeo ya tangazo.
Kuhusu hiyo mastercard ya airtel, code waliyokwambia ni CVV ambayo wamekupa kwenye hiyo virtual mastercard zama kwenye ile link ukiona picha ya card tizama CVV halafu upaste hapo na mwaka wa expiry.
Ukishadownload ads manager uje tukuelekeze step by step.
asante.
Pamoja.Sawa Mkuu,Shukran Sana. Ngoja nifanye hivo mara moja
Mkuu tayari Ads Manager iko downloadedAnyway, hakuna ugumu wowote na hakuna ulazima wa dola 5 kama alivyosema mkuu Santos06 hapo juu.
Ukiboost tangazo directly kutokana na kiunganishi kilichopo kwenye post yako pale palipoandikwa boost post, matarajio sio mazuri sana na gharama yake ni kubwa.Ushauri wangu download ads manager kutoka playstore kisha utumie kwa kazi hiyo hapa wanakata hela yao kwa clicks hii ni somehow accurate na matokeo ya tangazo.
Kuhusu hiyo mastercard ya airtel, code waliyokwambia ni CVV ambayo wamekupa kwenye hiyo virtual mastercard zama kwenye ile link ukiona picha ya card tizama CVV halafu upaste hapo na mwaka wa expiry.
Ukishadownload ads manager uje tukuelekeze step by step.
asante.
Ingia Youtube ujifunze jinsi ya kuitumia ipo more effectively kuliko kuboost a postMkuu tayari Ads Manager iko downloaded
Sawa nashukuruIngia Youtube ujifunze jinsi ya kuitumia ipo more effectively kuliko kuboost a post
Fanya process za mwanzo kisha tuletee screenshot, unless uende youtube kama mkuu alivyoshauri hapo juu.Mkuu tayari Ads Manager iko downloaded