Jinsi ya Ku-Apply Kazi za PPF

Jinsi ya Ku-Apply Kazi za PPF

makandomende

Member
Joined
Sep 2, 2013
Posts
82
Reaction score
43
Wadau

Tafadhali sana naomba tusaidiane. Kazi za PPF zinatakiwa kujazwa ONLINE, lakini ni lazima ujisajili kwenye system kama vile TRA, sasa tatizo ni kwenye kuonisha maneno (MATCHING THE WORDS) kooooote nimejaza nilipofika kwenye kuoanisha maneno kila nikiandika kama walivyoandika napewa jibu kuwa MANENO HAYAJAOANA (WORDS DID NOT MATCH)
ilhali maneno yenyewe ni ya kawaida kabisa kama vile "changu, chomoa, salehe n.k"

SASA
NAOMBA NISAIDIWE KAMA KUNA NJIA NYINGINE WADAU
NAWASILISHA
 
Kwa baadhi ambao tayari tuna account za hiyo portal yao, uki-login inakurudisha mwanzo kabisa kana kwamba hukuwahi kujisajili nao.
 
Nadhani ni njia nyingine ya kuwachuja au kuwanyima nafasi wale wasio na baba mkubwa mjomba au shangazi, wao wanajua kwanini wameseti namna hiyo.
 
jana mimi nilijaribu ikakubali mbona au watu washakua nyomi mtandao umeanza sumbua
 
Hata mimi nimekwama kabisa , ubabaishaji mtupu wakati maneno ni simple na yanaeleweka.
Mimi nimefanikiwa ndugu kitu cha msingi ni kufuata masharti ya ku-apply, do not upload documents of greater than 5MB???? hapo ndo panasumbua klidogo...jaribu tena hakuna rushwa hapo ni jinsi ya wewe unavyoweza kutumia computer...
 
wamepost kwenye Facebook page yao
[h=5]PPF Pensions Fund shared a link.[/h]5 minutes ago

Wadau na wanachama wote wa PPF ambao mlikua mnajaza nafasi za kazi kwa kupitia mtandao wetu wa www.ppftz.org sasa mnaweza kuendelea kujaza baada ya tatizo lililokuwepo kushugulikiwa. Poleni na samahani kwa sumbufu!!!
 
baada ya kusoma hii post ndo nikaona bora nikajaribu na mm wameniletea hivohivo inakataaa jaman
 
mbona hata baada ya kujisajili ukitaka ku-login inakataa.
Hizi nafasi kama wanawatu wao wawe wanapeana tu sio mbaka watutangazie kwani wanatupotezea muda ili hali kazi zinawenyewe.
 
Kwa baadhi ambao tayari tuna account za hiyo portal yao, uki-login inakurudisha mwanzo kabisa kana kwamba hukuwahi kujisajili nao.
Mbona ni simple sana mkuu mi nimefanya jana hata haijanisumbua au labda watu washakua wengi.

Hata mimi nimekwama kabisa , ubabaishaji mtupu wakati maneno ni simple na yanaeleweka.
Mbona ni simple sana mkuu mi nimefanya jana hata haijanisumbua au labda watu washakua wengi.
 
bado inakataa mi tangu jana mpka sasa inagoma afu huyo anaesema kuhusu ku upload zaidi ya 5MB huko bado hatujafikia hapa mwanzo tuu haikubali
 
Back
Top Bottom