Panzi Mbishi
JF-Expert Member
- Mar 8, 2021
- 2,344
- 3,025
hivi kama huna elimu utafanya upasuaji? utajenga madaraja? kama umeishia darasa la saba sio tatizo
Mimi sijaona kama wamedharauliwa, ninachoona ni kwamba tumekumbushwa kama tumeamua kutafuta makaratasi (vyeti) basi ya reflect kwenye mambo tunayoyafanya.The fact kwamba hao wasomi walidharauliwa na wasio na elimu na wao wakakaa kimya mpaka hii post ikaja hapa, kunaleta mashaka na uwezo wao wa kutumia elimu Yao...
Umepaona hapo?Kweli kichwani lipo tatizoView attachment 1751648
Hao woote ni makada watiifu wa CCM.Elimu ya kimapokea ni kirusi, inawezekana ni shambulio la kifikra dhidi ya jamii ya weusi...
Duuuu, nimekuogopa kama unafikia hatua ya kudharau elimu na mapokeo yakeJiulize kwanza kama wote wanaofanya upasuaji na kujenga madaraja tangu enzi za Adam, Musa na manabii wengine wote walikua na makaratasi yanaitwa diploma, degree, masters, PhD???
Halafu uelewele maana ya elimu
Agiza soda nakuja kulipa umenikosha sanahivi kama huna elimu utafanya upasuaji? utajenga madaraja? kama umeishia darasa la saba sio tatizo
Mkuu hata uko nchi zilizoendelea kuwa na PhD and Master degree sio kigezo cha kuwa na pesa..la kwa hili la kushindwa kuongea au kuongea pumba nakubalina naweTanzania haina wasomi, ina watu walioenda shule kukariri,ndomaana watu wengi elimu zao haziwasaidii kabisa.
Mimi akija mtu akanambia amesoma, ana PhD, masters au degree alafu hana hela, au anaongea pumba ambazo hata mtu wa form 4 anaejielewa hawezi ongea... Namuona mpumbavu tu.Hatuwezi kukaa kusikiliza hoja zako,hata kama ni pumba eti tukubali kisa umesoma.Mimi nina ka degree kamoja,ila Jana nilimuelewa sana Msukuma.
Nenda pale MOI kamtafute bingwa wa upasuaji ambaye hajasoma na hana hivyo vyeti unavyo vidharau na kuvikebei.Jiulize kwanza kama wote wanaofanya upasuaji na kujenga madaraja tangu enzi za Adam, Musa na manabii wengine wote walikua na makaratasi yanaitwa diploma, degree, masters, PhD???
Halafu uelewele maana ya elimu
Lkn tusifikie kuwadharau waliosoma.tatizo watu mnachanganya siasa na usomi wa mtu, wale ni wanasiasa na ni wasomi pia, msomi anaeweza simama akaongea pumba lakini nafsi inamsuta kabisa ila kwasababu inambidi asimame na aongee hivyo basi watu kumuona kama mjinga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio wote mkuu...wale waliojitoa akili na kuendekeza matumbo yao na kushadidia siasa uchwara ndio wanaowaponza wengine hat hizo PhD zisionekane za maana....wenye akili zinazofanafa na PhD zao bado wako baadhi hasa huko vyuoni!Huwa nacheka sana ninapowasikiliza wasomi wa Tanzania hasa wale PhD holder!!....ujinga mtupu!!
Unaelewa sana mkuu, kuna dilemma of professionalismThe fact kwamba hao wasomi walidharauliwa na wasio na elimu na wao wakakaa kimya mpaka hii post ikaja hapa, kunaleta mashaka na uwezo wao wa kutumia elimu Yao..na kibaya zaidi wameshindwa kutumia elimu Yao kuji defend against ya attacks za standard seven leavers..SASA wataweza kutetea nchi pale mikataba iliyoandikwa Kwa ustadi Mkubwa na wasomi wabobezi wanaotumia small prints kuibia wajinga punde itakapoletwa kujadiliwa?!..Yanayoendelea hapa nchini Kwa SASA inabidi yawe documented vizuri ili baadae vizazi vijavyo vijifunze namna ya kutokuwa wajinga.
Hiyo dharau iko wapiDuuuu, nimekuogopa kama unafikia hatua ya kudharau elimu na mapokeo yake
Tatizo hawa wasomi wamechagua kutumikia taifa kule ambako elimu zao hazistahili....wangebaki tu vyuoni...huku kwenye siasa kunawafanya washindwe kufikiri kwa level zao....Nenda pale MOI kamtafute bingwa wa upasuaji ambaye hajasoma na hana hivyo vyeti unavyo vidharau na kuvikebei.
Katafute kuanzia mlango nambari 1-10 madaktari woote ni maprofesa na kweli kwa kutumia elimu yao wanafanya kazi ya uhakika.
Haiingii akilini eti leo hii kwa ushabiki wa mavyama na itikadi ukufanye uidharau elimu na kuwabeza waliosoma.
Sipati picha Bashiru atakuwa anajisikiaje..Tatizo hawa wasomi wamechagua kutumikia taifa kule ambako elimu zao hazistahili....wangebaki tu vyuoni...huku kwenye siasa kunawafanya washindwe kufikiri kwa level zao....