Jinsi wanavyotengeneza.

Jinsi wanavyotengeneza.

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
21,014
kupitia huu uzi tujuzane jinsi vindu mbalimbali vinavyoundwa. Unaweza kukiona kitu sokoni ukaona ni complex sana lakini kumbe utengenezaji wake siyo hata complex.
tuelekezane kwa maelezo aua kwa link za video.

Hapa ni jinsi mipira ya miguu inavyotengenezwa.

 
Jinsi wanavyotengeneza vitana vya nywele kwa kutumia mapembe ya ng'ombe.

 
Back
Top Bottom