Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,439
- 100,731
mpwa Elli una mambo..................haya huyo paloma ni yupi kati ya hao wawili???
ukipatia nasaula hapahapa.............
hahahahaaaa si yule wa upande ule mwenye bastola???
Mh,matege yananin tena...mhhh............unabipu mpwa!!??
mie nasafishaga kiwi cha macho kwa wanaume kwa kuangalia nyuma kama wana matege au laah!!! then napata jawabu!
Hiyo Mwananyamala mkuu na hao ............. Mtambuzi shahidi!hahahaaaaaaaa Mzee mwenzangu kuna kale ka-technic kengine pia ni kazuri sana hasa ukiwa na mwenye mali, all you need to do ni kumponda huyo unaetaka kusafisha Kiwi cha macho; please it is very useful yaani all you need ni kumwangalia halafu unamwambia mwenye Mali "yaani wananwake bhana hebu sasa ona yule kavaaje vile? " au unatafuta namna nyingine kadiri utakavyoona inafaa "Nitakununulia gauni/top au jinzi kama ile au napenda rangi kama ile, i wish ungevaa wewe" yaani hapo kesi yote kwisha na mwenyewe utakua umeridhika hahahahaaaa tatizo sasa wakiwa wengi kila saaaa utashindwa itabidi upunguze frequency
..............mhh siri yangu!!!Mh,matege yananin tena...
Basi niPm simwambii mtu..............mhh siri yangu!!!
tuwekee za mamen tusafishe macho na sie.
Halafu wewe....!
Hii mahali ka vile ni Tanga Barabara ya 11 hivi na hata hayo mavazi na hao watu walivyo warembo, Duh kuna wanaume wanahudumia aisee hadi ananona hivyo???!!! Huyo Mmoja anafanana sana na Mpwa wangu Paloma akiwa na tinna cute wanakata mitaa ya Mwananyamala
Nitakuja nikuambie kitu kuhusiana na hiyo avatar yako!!
nimeshakijua. najua vile unapenda. lol